Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,333
- 8,252
Habarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.
Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.
Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochotechochote
Mods naombeni katika huu uzi mtoe comment zisizo na maana.
Tupo seriously hapa kuna watu wanaandika ujinga, tafadhari watu kama hawa washughurikieni.
Ni bora tuwe na comment moja inayofundisha na kutolea ufafanuzi kuliko kuwa na comment nyingi zisizofaa.