Msaada tafsiri ya ndoto hii; Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo

Nimeota ndoto juzi sitaisema hapa hata niliposhtuka nikapuuzia tu kwamba haiwezekani.
Ni ndoto tu.
 
Habarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.

Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.

Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochotechochote

Mods naombeni katika huu uzi mtoe comment zisizo na maana.

Tupo seriously hapa kuna watu wanaandika ujinga, tafadhari watu kama hawa washughurikieni.

Ni bora tuwe na comment moja inayofundisha na kutolea ufafanuzi kuliko kuwa na comment nyingi zisizofaa.
Haina maana yoyote hiyo ndoto,aendelee tu na maisha yake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mambo yao waachie wenyewe, ndoto ni matokeo ya kukiwazia sana kitu au jambo fulani...
 
Huwezi tu kifasiri ndoto kuna vitu lzm uangalie!
Ameota akiwa wapi?
Kaka ako ameoa tayari au ndo anatarajia,yuko kwenye maandalizi nk,na ana mtu tayari au bado anatafuta?

Wakati mwingine ukute anamuomba Mungu kwenye hili jambo,then Mungu anamjibu kwa ndoto kumuonyesha tatizo lilipo ye haelewi!
Soma Ayubu 33:14-17

Generally sio ndoto nzuri,naona ndoa za miungu tu hapo zimetumia sura ya mama ake mdogo!
Na ndoa hizo huwa zipo kiagano(shule pana kidogo hii)

Ila kuna namna ya kuomba na kutoka hapo sio issue!
Rafiki embu jaribu kueleza kiundani kidogo, kaka yangu wala hajaoa, pia hajawai kuwaza vitu kama hivyo. Ni imetokea tu kaota hivyo na ndio maana kanisimulia ili nilifikishe kwa watu wenye uelewa na ndoto wapate kutoa ufafanuzi zaidi.
 
Habarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.

Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.

Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochotechochote

Mods naombeni katika huu uzi mtoe comment zisizo na maana.

Tupo seriously hapa kuna watu wanaandika ujinga, tafadhari watu kama hawa washughurikieni.

Ni bora tuwe na comment moja inayofundisha na kutolea ufafanuzi kuliko kuwa na comment nyingi zisizofaa.
Mwanbie aende kanisana eagt city center akaombewe pale na pastor KATUNZI Kuna kitu sirini inawezekana kinaendelea kimbia kwa Yesu ndugu... utanikumbuka badae
 
ya kaka yako yanakutesa hivo yangekuwa yako? unajuaje yaliyomo moyoni mwa kaka yako, kama anampenda kweli ila kaja na styl ya ndoto kuwasikilizia reaction yenu?
🤣🤣🤣

Kaka anatafuta njia ya kuhalalisha wazo lako
 
Habarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.

Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.

Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochotechochote

Mods naombeni katika huu uzi mtoe comment zisizo na maana.

Tupo seriously hapa kuna watu wanaandika ujinga, tafadhari watu kama hawa washughurikieni.

Ni bora tuwe na comment moja inayofundisha na kutolea ufafanuzi kuliko kuwa na comment nyingi zisizofaa.
Atakua CCM tu huyo
 
Hizo ni n.y.e.g.e. Mwambie aende Riverside ama Sinza nyakati za usiku kila anapopata ndoto hizo. Akienda mara tatu au nne ndoto nyevu zitakoma na atuachie mamake mdogo.
.
.
Msaada mkubwa ni kumchangia apate walau mwekundu wa msimbazi kila anapoenda.
 
Hata kwa kuchelewa,
naomba nichangie kidogo.
Kwanza Ukiota Ndoto ihusuyo NDOA, Ujue hilo ni AGANO.
,,,,,,,,, Hivyo kuna AGANO linaloishi ktk Ulimwengu wa Kiroho kwenye Mlango wa mama wa kaka yako. [ NI SIRI ]

Bado hatujui hali ilivyokuwa ktk hiyo ndoa ya ndotoni. Hii ingetusaidia kujua matokeo ya hilo agano [NEG / POS + ]
ila inaonyesha kaka yako amelikubali AGANO.
Ukifukunyua hili jambo kwa wazazi wenu upande wa mama zenu, utagundua kuna MAAGANO yanayoishi.

Kaka yako atapokea majukumu Kutoka mlango wa mama yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom