Msaada tafsiri ya ndoto hii; Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
5,975
7,731
Habarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.

Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.

Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochotechochote

Mods naombeni katika huu uzi mtoe comment zisizo na maana.

Tupo seriously hapa kuna watu wanaandika ujinga, tafadhari watu kama hawa washughurikieni.

Ni bora tuwe na comment moja inayofundisha na kutolea ufafanuzi kuliko kuwa na comment nyingi zisizofaa.
 
Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochote.

Dah! Mimi mwenyewe hapa nimetoka kuota muda si mrefu eti nimemchumbia Barbara wa simba! 😫 Dah! Hizi ndoto za siku hizi yaani ni majanga juu ya majanga.
 
Habarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.

Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.

Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochote.
Kuna ndoto kutoka kwa Mungu
Kuna ndoto kutoka kwa shetani
Kuna ndoto nyevu
Kuna ndoto kutokana na matukio au uchovu

Chagua hapo
 
Hujakaa vizuri mara utasikia mtoto amuua mama yake mdogo kisa wivu wa kimapenzi. Acheni kusingizia ndoto na muhame hapo kwa babu yenu mkapange sio kuangalia angalia matterqo ya mama zenu wadogo c2pd nyie.
 
Habarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.

Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.

Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochotechochote

Mods naombeni katika huu uzi mtoe comment zisizo na maana.

Tupo seriously hapa kuna watu wanaandika ujinga, tafadhari watu kama hawa washughurikieni.

Ni bora tuwe na comment moja inayofundisha na kutolea ufafanuzi kuliko kuwa na comment nyingi zisizofaa.
Huwezi tu kifasiri ndoto kuna vitu lzm uangalie!
Ameota akiwa wapi?
Kaka ako ameoa tayari au ndo anatarajia,yuko kwenye maandalizi nk,na ana mtu tayari au bado anatafuta?

Wakati mwingine ukute anamuomba Mungu kwenye hili jambo,then Mungu anamjibu kwa ndoto kumuonyesha tatizo lilipo ye haelewi!
Soma Ayubu 33:14-17

Generally sio ndoto nzuri,naona ndoa za miungu tu hapo zimetumia sura ya mama ake mdogo!
Na ndoa hizo huwa zipo kiagano(shule pana kidogo hii)

Ila kuna namna ya kuomba na kutoka hapo sio issue!
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom