Msaada Tafadhari

mfukoz

Member
Aug 11, 2011
35
4
Wadau nilikuwa naomba kuliza yafuatayo mimi si mtaalam sana wa mbao hayaa ya technologya ila ndio nimekuwa nikitaka kufahamu mambo na kujifunza maswali yangu ni haya mawili 1.Ofisini kwetu tunatumia wireless network nanilikuwa nataka ku-update Laptop yangu kupitia wirelessnwtwork ya hapa ofisini nihatua zipi za kufanya niweze ku-update hii laptop.
icon9.png
 
kwanza, hakikisha laptop yako inaweza kuunga kwa wireless
pili, turn it on na search/scan for wireless @ ur area (refer manual abt how to turn it on)
tatu, select the wireless name and click connect na kama hiyo wireless device itakuwa na password (wep key) ni lazima kuwasiliana na IT au wahusika wakupatie key
 
kwa kawaida wireless network nyingi (hasa za kiofisi za mijini) huwa inakuwa protected network...so nakushauri ni vyema umuone IT personnel wa hapo mapema tu akupe details!
 
Connect kwenye network, nenda windows update kwenye PC, fanya update.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom