Msaada Tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tafadhari

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mfukoz, Sep 15, 2011.

 1. m

  mfukoz Member

  #1
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau nilikuwa naomba kuliza yafuatayo mimi si mtaalam sana wa mbao hayaa ya technologya ila ndio nimekuwa nikitaka kufahamu mambo na kujifunza maswali yangu ni haya mawili 1.Ofisini kwetu tunatumia wireless network nanilikuwa nataka ku-update Laptop yangu kupitia wirelessnwtwork ya hapa ofisini nihatua zipi za kufanya niweze ku-update hii laptop.[​IMG]
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  kwanza, hakikisha laptop yako inaweza kuunga kwa wireless
  pili, turn it on na search/scan for wireless @ ur area (refer manual abt how to turn it on)
  tatu, select the wireless name and click connect na kama hiyo wireless device itakuwa na password (wep key) ni lazima kuwasiliana na IT au wahusika wakupatie key
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kwa kawaida wireless network nyingi (hasa za kiofisi za mijini) huwa inakuwa protected network...so nakushauri ni vyema umuone IT personnel wa hapo mapema tu akupe details!
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mwone tu mtu wa I.T huwezijua kuna configuration za kufanya.....
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Connect kwenye network, nenda windows update kwenye PC, fanya update.
   
Loading...