mwanachi huru
Member
- Oct 15, 2016
- 30
- 8
wasalam
kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada kujua field kozi hii kujiajiri au kuajiriwa ( hasa kwa wahitimu na wenye uelewa wa kozi hii).
pia nataka kujua kama ina tofauti na bachelor in regional development plan management ya chuo cha mipango
nahitaji msaada wenu ili niweze kuchagua kozi kati ya hizo ni miongoni mwa kozi ninazotaka omba second batch
nitashukuru kwa mtakao nishauri