heshima kwenu wakuu!
Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu. Miongoni mwa malengo yangu mwaka huu ni pamoja na kujiendeleza ki elimu. Natamani sana kujiendeleza kwa kusoma Rural Development lakini kwa bahati mbaya nimekosa taarifa sahihi kutoka vyanzo vya kuaminika kuhusu urahisi wa kuajirika(tafadhari kumbuka si kila mtu ana uwezo/talanta ya kujiajiri na kutengeneza ajira), na maslahi yake yakoje. Natanguliza shukrani zangu kwa mtakao changia mawazo yenu kwani ni ya muhimu sana.
NB. sifa za kusoma Masters ya course hiyo ninazo