Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

bysange

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
4,456
Reaction score
1,565
Bila shaka hamjambo wadau wa jf,simu yangu inagoma kudanload sijajua nimefunga kitu gani mwanzoni ilikuwa inadanload vizuri tu,simu yangu ni nokia
naombe msaada huyo nifanye je,natanguliza shukrani kwenu.
 
Nokia model gani na inakupa msg gani ukijaribu kudownload??
 
je websites (kama google, facebook, waptrick nk) na web pages zinafunguka. inashindwa ku download kitu gani - faili za aina gani
 
Jaribu kureset internet upya kama unatumia laini ya vodacom
 
Nenda ktk Configaration zako Mkuu, kapange tena vizuri then Restart hiyo simu.
 
je websites (kama google, facebook, waptrick nk) na web pages zinafunguka. inashindwa ku download kitu gani - faili za aina gani

zinafungua vizuri tu,ilikuwa inashindwa kudanload PDF tu ila kwasasa zote zinagoma kudanload
 
Back
Top Bottom