Msaada tafadhali

both teams to score-YES

JF-Expert Member
Nov 11, 2022
963
1,847
Wakuu mmeamkaje, nina masuala mawili nahitaji msaada wa mawazo yenu

1) Wife amejifungua kwa operation watoto 2, sasa aliposhonwa, kesho yake tumbo likavimba sehemu. Alipopimwa Ultrasound dokta akasema ana uvimbe ktk kizazi. Hivi inawezekana kweli? Kwanini during operation hakuuona?

2)Wife ameruhusiwa hospitali na kupewa dawa za kuongeza damu, ila leo kaamka kaenda chooni katoa choo kikubwa cheusi kama lami.. Nini tatizo wakuu?

Asanteni.
 
sawa wakuu ahsanteni sana..ila hoja yangu namba 1 mwenye uelewa pls..inawezekn mzaz akajifngua kw operation na daktari asiuone uvimbe ktk kizazi?
 
sawa wakuu ahsanteni sana..ila hoja yangu namba 1 mwenye uelewa pls..inawezekn mzaz akajifngua kw operation na daktari asiuone uvimbe ktk kizazi?
Inawezekana alikuwa na uvimbe mdogo, baada ya watoto kutoka ndio ukaonekana, ila usingesababisha hiyo hali ya tumbo kujaa; nachokushauri, sijajua ulimpeleka hospitali ipi, ila anahitaji kupata huduma sehemu makini.​
 
Back
Top Bottom