Msaada tafadhali : Nafanyaje kupata Proof of residence katika hili?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
13,881
2,000
Salam wakuu,

Straight to the point. Kuna service flani nataka kujiunga nayo online tatizo linakuja kwenye kufanya verification. Nimetuma national id wamekubali issue inakuja kwenye proof of residence (utility bill) hapo ndio utata sijui nafanyaje wakuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom