Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
Basi kama ni Hivyo tafuta mwanaume kisha muingize ndani na ukiona muda wa mr kurudi umewadia mnavua nguo '''''hataka kama sio zote kisha mnakaa sebuleni huku mmepandishiana miguu nadhani hiyo itakua mbinu safi kabisaa
Atauwawa. Mkunde Original, muombe tu Mungu, ni mwaminifu. Na anajua unahitaji nini kuliko wewe mwenyewe. Waweza tengana naye chumba huku ukidumu ktk maombi, kama anakuabuse physically basi una haki za kisheria kudai separation