2015ready
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 383
- 140
Nilishaondokaga kipindi fulani for a week alihaha na kutumia njia zote nikarudi. Nikimuacha najua itakuwa vilevile atanirudisha, note anajeuri ya pesa. Nataka njia ambayo yeye ndo aniambie ondoa nyumbani kwangu au aniambie sikutaka tena au aniambie kuanzia sasa wewe si mke wangu. Means asihangaike kunifata na kutaka nirudi tuishi wote.
Na hii itokee bila mimi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine, Bila kumfanyia visa anavonifanyia wala sitaki tugombane.
Kama ni njia au jinsi iwe moja yaani nikifanya hivo yeye mwenyewe aseme basi ondoka sio nifanye mlolongo wa visa.
Am totally fed up.
Swali.
Je, akiacha mambo yote na sababu zote ambazo zinakufanya wewe kufikiria kuondoka kwenye hiyo ndoa, upo tayari kubaki?
Kama jibu lako ni ndio basi mimi ninayo njia rahisi ambayo itasaidia mumeo kuacha kabisaaa mambo yote ambayo yamesababisha wewe kufikia uamuzi wako.
NENDENI KWA TB. JOSHUA