Msaada tafadhali "Mapenzi yamchanganya"

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
Wana JF
Nina mshikaji wangu amepata shock baada ya mpenzi wake wa miaka minne kumuona akishiriki miss universe pasipo kumpa taarifa yoyote. Anashangaa tu kumuona kwenye televisheni juzi usiku wakati wa taarifa ya habari. Ameniomba ushauri kwani hajui afanye nini? Kiufupi amekuwa kama amechanganyikiwa

NB:
Jamani jamaa yangu anazidi kupata headache, naomba kuuliza hili swali je warembo walioko kambini kama hawa wa miss universe hairuhusiwi kutembelewa na ndugu, jamaa na wapenzi wao? Nauliza kwakuwa naona jamaa kapigwa stop na huyu mpenzi wake kuwa haruhusiwi mtu yeyote kuwatembelea! Kwa wenye uelewa na hili tafadhali
 
Wana JF
Nina mshikaji wangu amepata shock baada ya mpenzi wake wa miaka minne kumuona akishiriki miss universe pasipo kumpa taarifa yoyote. Anashangaa tu kumuona kwenye televisheni juzi usiku wakati wa taarifa ya habari. Ameniomba ushauri kwani hajui afanye nini? Kiufupi amekuwa kama amechanganyikiwa
Huyo atakuwa sio mpenzi wake! Why amfiche?? Amwulize huenda atakuwa na sababu ya msingi.
 
kachanganyikiwa nanin?

uyo si mpz wake
...muhusika kamili i mean bfrend MWENYEWE kapewa taaarifa na uenda kampa tafu kdg kwa kumpa pesa ya kujinunulia VIFAA vya kugombea umiss

jamaa atafute demu...ALIZANI YUPO INN KUMBE DADA YUPO OUT KTAAAAAAAAAAMBO....tel hm asichanganyikiwe ni game tu io..ni mchezo tu wanani kapata....nan wa kwanza...ni kawaida sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bt mpe pole.

atachanganyikiwa na mangap jaman?
AKUBALI HALI...mh mimi mwezenu sjui bado mshamba lakin nikimwona mtu ANAGOMBEA UMISS SJUI UNINI YAAN NAMWONA KAMA si kawaida ivi...ndiyo nachukulia poa bt naona kuna tashwishwi nyingi na kwa research yangu fup niliyofanya nimegundua mtu anayegombea umiss lazma anakua na vielement flan ivi vya...........
 
mh! Wapenzi! Tena wa miaka minne anamficha! Ilibidi huyo miss amshirikishe mpenzie na wakubaliane,vinginevyo mtulize huyo rafiki mwambie aongee na mtu wake ana kwa ana askie anamwambia nini,ila siyo fair na inaleta alama nyingi za ulizo.......
 
Rose, huyu mshkaji anachanganyikiwa kwani anasema wiki mbili wakati wa likizo ya Pasaka huyo binti alitoka chuoni anasoma mkoani na kuja kwake Dsm na walifurahia maisha. Kiufupi anasema hajui kwanini amefanya hivyo
 
Wana JF
Nina mshikaji wangu amepata shock baada ya mpenzi wake wa miaka minne kumuona akishiriki miss universe pasipo kumpa taarifa yoyote. Anashangaa tu kumuona kwenye televisheni juzi usiku wakati wa taarifa ya habari. Ameniomba ushauri kwani hajui afanye nini? Kiufupi amekuwa kama amechanganyikiwa
mhh kazi kweli
 
mh! Wapenzi! Tena wa miaka minne anamficha! Ilibidi huyo miss amshirikishe mpenzie na wakubaliane,vinginevyo mtulize huyo rafiki mwambie aongee na mtu wake ana kwa ana askie anamwambia nini,ila siyo fair na inaleta alama nyingi za ulizo.......
dada Wiselady, mshkaji wangu huyu anasema jana kampigia simu kama mara 5 hivi akapokea mara ya 6 lakini hakutaka kuongea kwa muda. Jamaa alipomuomba kesho yaani leo akamsalimie huyo binti akakataa akasema hawana muda. Ila amefuatilia amegundua kuna muda mzuri tu wa warembo hao kuonana na wageni
 
kachanganyikiwa nanin?

uyo si mpz wake
...muhusika kamili i mean bfrend MWENYEWE kapewa taaarifa na uenda kampa tafu kdg kwa kumpa pesa ya kujinunulia VIFAA vya kugombea umiss

jamaa atafute demu...ALIZANI YUPO INN KUMBE DADA YUPO OUT KTAAAAAAAAAAMBO....tel hm asichanganyikiwe ni game tu io..ni mchezo tu wanani kapata....nan wa kwanza...ni kawaida sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bt mpe pole.

atachanganyikiwa na mangap jaman?
AKUBALI HALI...mh mimi mwezenu sjui bado mshamba lakin nikimwona mtu ANAGOMBEA UMISS SJUI UNINI YAAN NAMWONA KAMA si kawaida ivi...ndiyo nachukulia poa bt naona kuna tashwishwi nyingi na kwa research yangu fup niliyofanya nimegundua mtu anayegombea umiss lazma anakua na vielement flan ivi vya...........

Hujatulia Rose, ina maana huelewi kwanini kachanganyikiwa?
 
Wana JF
Nina mshikaji wangu amepata shock baada ya mpenzi wake wa miaka minne kumuona akishiriki miss universe pasipo kumpa taarifa yoyote. Anashangaa tu kumuona kwenye televisheni juzi usiku wakati wa taarifa ya habari. Ameniomba ushauri kwani hajui afanye nini? Kiufupi amekuwa kama amechanganyikiwa
Anatakiwa afurahie kwavile mchumbaake kaoneshwa kwenye TV, sio achanganyikiwe.
 
watu tunachanganyikiwa maisha magumu ye anachanganyikiwa na mapenz? Hata hvyo wana miaka 4 hajamchoka tu.
 
Anatakiwa afurahie kwavile mchumbaake kaoneshwa kwenye TV, sio achanganyikiwe.
Mkuu klorokwini, kumbuka huyu jamaa alijua mpenziwe yuko chuoni mkoani, amekuwa shocked hakupata taarifa hizo wakati daily wanaongea kwa simu
 
dada Wiselady, mshkaji wangu huyu anasema jana kampigia simu kama mara 5 hivi akapokea mara ya 6 lakini hakutaka kuongea kwa muda. Jamaa alipomuomba kesho yaani leo akamsalimie huyo binti akakataa akasema hawana muda. Ila amefuatilia amegundua kuna muda mzuri tu wa warembo hao kuonana na wageni

my my my! No longer committed,mwambie huyo rafiki yako aongee nae lkn tayari hizo ni red light,kifupi ni hivi;jamaa yako ajipange kwa lolote.cheers
 
Mkuu klorokwini, kumbuka huyu jamaa alijua mpenziwe yuko chuoni mkoani, amekuwa shocked hakupata taarifa hizo wakati daily wanaongea kwa simu
khaaaa! Kumbe balaa lenyewe ndio hili?
USHAURI: hicho kipindi kama unaruhusiwa kutuma text live kwenye show mwambie mshkaji wako atume text ya talaka kwenye hiyo live show halaf aombe razi kwa mtayarishaji wa kipindi kwa kutuma text ambayo haihusiani na kipindi.

Sred Klosed.
 
inaelekea huyo jamaa alidokezwa akaonyesha dalili za
kupinga hilo suala. sasa imekula kwake inabidi tu asikilizie
maumivu na kusonga mbele na maisha.
 
Ni yupi, kati ya hawa, kabla sijatoa ushauri wangu? lol

002.miss+universe.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom