Msaada tafadhali "Mapenzi yamchanganya"

Sapraiz gani unaaga unaenda kigoma kusoma halaf unaonekana kwenye TV na mawigi yako. hii post nimeandika kwa hasira kweli

Sasa angemwambia ingekuaje sapraiz?!?!Ni kama yale yale ya uko wapi...niko njiani naelekea nyumbani kumbe nipo mlangoni kwako!
 
watu tunachanganyikiwa maisha magumu ye anachanganyikiwa na mapenz? Hata hvyo wana miaka 4 hajamchoka tu.

medy hujawahi patwa na maumivu ya mapenzi? Usiombe ndugu yangu yakukute.
 
Hahahahaha!
Sapraiz gan Lizzy, haya sasa mpenziwe anakarbia kupata kisukari

Sapraiz ya ukweli hiyo mpendwa....kama ni mimi wakati najua ndo kipindi kinaanza ningentext nimwambie kabisa chungulia channel flani....
 
Ni yupi, kati ya hawa, kabla sijatoa ushauri wangu? lol

002.miss+universe.JPG

atakuwa huyo wa mbele, si unaona kanyoa upara kuuwa ushahidi.
 
Mkuu ndege wanaofanana huruka pamoja, kamwe mwewe na kunguru hawaendi pamoja.
 
Sasa angemwambia ingekuaje sapraiz?!?!Ni kama yale yale ya uko wapi...niko njiani naelekea nyumbani kumbe nipo mlangoni kwako!
sapraizi zina sheria zake bana! haya mambo mengine msiwe mnatuiga sisi bila kuelewa mantiki yake.
 
medy hujawahi patwa na maumivu ya mapenzi? Usiombe ndugu yangu yakukute.
Kiukweli huyu jamaa anatia huruma! Natamani ningejua walipo watoa huduma ya ushauri nimwambie aende huko apate msaada wa kimawazo. Ebu nisaidieni majina ya vituo kama hivi, nikamwambie
 
Sapraiz ya ukweli hiyo mpendwa....kama ni mimi wakati najua ndo kipindi kinaanza ningentext nimwambie kabisa chungulia channel flani....
Hahahahahaha!...
Utaua Lizzy, kuna watu mioyo yao haijazoea sapraizi, anataka umwambie kila kitu.
 
Tunawaiga nyie kina nani???!Wazungu!?
sisi hollywood. Nitaanzisa sred special ya mtiririko wa kusapraiz. mimi nina hakika huyu jamaa hasira zake alivunja TV na usikute TV yenyewe alikuwa anaangalia kwa jirani. khaaa!
 
Kiukweli huyu jamaa anatia huruma! Natamani ningejua walipo watoa huduma ya ushauri nimwambie aende huko apate msaada wa kimawazo. Ebu nisaidieni majina ya vituo kama hivi, nikamwambie
Kabla hajaenda kwenye ushauri, akae na huyo mpenzi wake kwanza amwulize sababu, yawezekana hakuwa na nia mbaya. Anachanganyikiwa nini wkt hajamwuliza mwenzi wake??
 
jamaa ameamua kukaa kimya mpaka mashindano yaishe wikendi ijayo, ndo aongee nae kwani kwasasa hataki kuongea muda mrefu kwani yuko bize na kambi Golden Tulip
Mkuu hiyo anayofanya itamuathiri zaidi, mwambie awasiliane nae bila kuonesha hisia kali kwa mdada, halaf ajifanye kumwambia "honey! nimekuona kwenye TV" kwa staili ya joke, ikisha aangalie reaction ya mdada. baada ya hapo anaweza akajenga ukimya mpaka hapo mashindano yatakapoisha next week. Huo mzigo alionao moyoni sasa hivi inabidi aupunguze uzito kwa mawasiliano.

Wanawake bana! :behindsofa:
 
pouwa Mkuu, nitamweleza ingawa alichonieleza leo ni kuwa kila anapompigia ikitokea akapokea hataki kuongea hata dk 2. Pia kakataa akamtembelee kambini hapo hotelini
 
Kwa kifupi tu ni kwamba jamaa inabidi ajipange kiutu uzima. Maana kama huyo girlfriend wake akishinda hiyo miss univ. atakuwa celebrity fulani hivi..

Jamaa akishafahamu kwa nini hakupewa taarifa, basi amuombe huyo msichana uhakika kama yeye ataendelea kuwa boyfriend wake..wafikie muafaka.

off topic:
siku nyingine tafuta msichana wa kawaida, achana na ma-miss , watakuua kwa pressure..maana hapo utakuwa unashindana na masharobaro na mapedeshee wa mjini, sasa kama hauna usafiri kazi kwako..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom