Msaada: Subaru Forester!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Subaru Forester!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akili Unazo!, Mar 9, 2010.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,043
  Likes Received: 1,267
  Trophy Points: 280
  Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote ya husuyo hizi aina za haya magari.
  Stability zake,upatikanaji wa spare na mengine yote ambayo mtu yeyote angependa kuyajua.Huyu jamaa yupo mkoani na amejaribu kuangalia aina hizo hazipo na yeye yupo interested nayo kwa kuwa ni 4DW kulingana na maeneo anayoishi anahitaji mkoko wa namna hiyo.

  Kwa kuwa JF inakila aina ya uelewa kwa niaba yake naomba niwasilishe ili apate la kumsaidia kwenye hii issue nzima.
   
 2. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ana kiasi gani? Kunayo moja if interested PM me.
   
 3. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,043
  Likes Received: 1,267
  Trophy Points: 280
  issue siyo kiwango mkuu yeye anachotaka kujua is the secrecy behind that kwamba ina ubora gani basi na mara nyingi huwa insumbua nini kama tunavyokuwa tunasikia kuhusu Surf;Mitsubish10i, Saloon car kwenye kunywa mafuta inaongoza nk
   
 4. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Haya tembelea link hii kupata specifications
   
 5. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Subaru forester SF5 engine edition, 2000cc; niliagiza moja mwaka jana from Japan nikaitumia for 6 months; ni gari nzuri sana kama bado iko mpya, ni imara na haisumbui sana; tofauti moja niliyo-note ni katika acceleration system yake (iko tofauti kidogo na toyota makes), pia inapoanza kuchoka au ukichelewa kuifanyia service huwa inachelewa kupokea mafuta kwa sekunde kadhaa wakati wa kuondoka, baada ya hapo huwa inakuwa shwari. Pia ikichoka huwa ina matatizo ya kupokea moto (kuna kitu nilitajiwa nimesahau jina lake) ila hili ni tatizo dogo. Matatizo mengine ni ya kawaida kama gari nyingine yeyote ile (ball joints, tyroid ends - kama unatembelea kwenye rough roads). This car is Full Time 4WD na engine yake ina nguvu sana sana ukilinganisha na RAV4 au HONDA SRV!!

  Spare zake kwa sasa ziko nyingi sana hapo mtaa wa Msimbazi (duka moja lipo karibu na Diamond Trust Bank hiyo ya Wahindi) ila ni genuine na za gharama sana kwa kweli (ulinganisha na toyota) hivyo mwambie jamaa ajiandae kwa hilo!! Wa-Kenya wana uzoefu nazo sana manake kwao zimejaa sana ... na almosts parts zote zapatika Nairobi na Dubai (na sasa Dar) ... actually nasikia kenya subaru cars ni nyingi kuliko toyota.

  This car was my favourite kwa kweli nilipotaka ku-enjoy barabara na kutunishiana misuli na magari makubwa like Toyota VX, Nissan Patrols kwani Subaru Forester zinachanganya haraka sana na zinachomoka balaaa! At one instant nilitumia less than 1 minute kufika 140km/hr. Usipokuwa mwangalifu ni rahisi sana kuuonja umauti!!!!

  Karibu ujaribu kitu tofauti.
   
 6. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,043
  Likes Received: 1,267
  Trophy Points: 280
  Mkuu nashukuru kwa ushauri ambao kwa kweli umeelezea uzoefu wako najua gharama za spare zake zitakuwa sawa na za Suzuki kama baadhi ya watu wasemavyo.

  Mkuu kwa nini uliamua kuuiza baada ya miezi sita?
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,070
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  gari makini sana hii.Ninayo mie miezi 4 sasa...inapiga kazi sana na safi..ila spear zake ndo bei juu.oil filter tu 35,000/=
   
 8. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #8
  Mar 9, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimecheka sana. Kuna siku nilikua naelekea Iringa nikitokea dar niko na Rav4. jamaa alikua na hii gari (subaru forester) nilijaribu kumtunishia misuli. Nilibaki kusoma No. tu.
  Nimeukubali kweli inatembea mkuu
   
 9. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #9
  Mar 9, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ghali kuliko hati GDI zinazopigwa majungu kila kukicha!!
   
 10. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Rafiki yangu mmoja wa mkoani aliipenda sana sana ... nikaamua kumuuzia. Lakini ukweli pia ni kwamba nina kaugonjwa ka-magari ... huwa sipendi kukaa na gari muda mrefu ... nikikaa nayo sana ni miezi 12 tu!!
   
 11. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,816
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Subaru's are for people who love cars,people who understand the beauty of perfomance.may be the reason kenyans buy more subarus than we do here in TZ-kenyans are ahead of us education wise and development wise.

  I suggest you buy that car and you will never be dissapointed!kuna watu wako tayari kununua Toyota kwa sababu spea bei rahisi,what is the use of a cheap spare part if you need to change it every 3 months?

  kwa wanamahesabu,ipi rahisi over time?15,000tshs spare that u will buy 4 times a year or a 35,000tshs that you will buy only once a year?go figure.

  anyways,watanzania wachache sana wanapiga hesabu in long term figures,no wonder tuko tayari kununua saa feki 10 kila mwaka for 20,000 lakini ukimwambia mtu atumie 200,000 kununua saa original atakayokaa nayo miaka 10 unakuwa ugomvi.
   
 12. M

  Mateshi Member

  #12
  May 9, 2013
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  The best ya wil eva drive...hiyo gari inapaa sana...iko na power ya kutosha sana...usipokua muoga hamna mtu anakupita njiani..huo mlio wa engine ndo matata sana...wil recommend foresta 2002 model with turbo charger....ukiwa nayo huwazi mabadiliko ya hali ya hewa maana yenyewe ni all weather road...Subaru r the only true AWD..go for it bro..ya wont regret..tena ukiweza chukua mpya...matatizo makubwa ya subaru ni gasket tu.
   
 13. delusions

  delusions JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2013
  Joined: Jan 11, 2013
  Messages: 4,815
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  Subaru ni balaa ukiingia ndani husikii mlio we cheki speedometer utajua unakimbiaje kuna siku nilikuwa naovateki harrier ilikuwa inanjazia kiwingu barabarani kuja kucheki speed wakati nampita nilikuta 170 then nikamuacha hakuniona teeenaaa kama una haraka iko vizuri kwa safari ndefu ila uwe na pochi ya kutosha kwa mafuta maana inameza kadiri unavyozidisha mibio oil filter siyo ghali kivileee inashea na rav 4 oilfilter moja tsh 15,000 plugs ndo ziko juu moja 50elf na ukifunga ngk unasahauu pelekagarage ya mtu aliyewahi kutengeneza subaru plugs kufungua ni shughuli kwa mzoefu zote nne anatumia lisaa na nusu kwa asiyezijua hata matatu unaweza ukawa unashangaa.ulaji wake mafuta ni 7km/h sababu ya turbo zisizo na turbo unatembea hadi 10km/h ila ndo hazikimbii sana kama zenye turbo ninayo mwaka wa pili unaisha sasa sijabadilisha chochote zaidi ya oilfilter na air cleaner tu
   
 14. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2013
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,516
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Mkuu sio wote wanaonunua vibaba vya mafuta na unga kila siku wanapenda? Hali halisi inabana..
   
 15. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2013
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,516
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye rangi nyekundu una uhakika?
   
 16. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2013
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,955
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Kaka hapo kwenye Red unaweza kuonja mauti au unakufa?
   
 17. CYBERTEQ

  CYBERTEQ JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2013
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 7,467
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hii gari kwa mazingira yahuyo jamaa ni mwisho wa safari! Gari imara sana na kana nguvu balaa, Full Time 4WD kaka, spare kweli ni ghali lakini hakiharibiki ovyo, ulaji mafuta ni inakaribiana sana na RAV4 lakini inaizidi RAV4 kwa kila kitu isipokuwa labda nafasi ya ndani!
   
 18. n

  ngwenda ngulya Member

  #18
  May 9, 2013
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Go for it
   
 19. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2013
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,351
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Shukrani kwa thread hii, nimejifunza kitu
   
 20. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2013
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,496
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  hii thread imenipa mzuks!
   
Loading...