MAGARA
Senior Member
- Jun 6, 2015
- 152
- 61
Habari zenu wana jf.
Najua humu kuna wataalamu wa sm.
Mimi kisim changu kina zima na kuwaka ghafla pindi niitumiapo naitumia,
Ikisha zima huanza mwanzo
Nime restore Mara nyingi mno
Lakini wapi.
Pia Nina Huawei nayo huniandikia Android has stopped.
Sm has stopped
Hii inatokana na nini!?
Na nifanyeje?