Aaaarg..tunakula jamani
Unataka kupulizwa nn?Kwani amemix uharo kwny chakula chako?
Unataka kupulizwa nn?
[emoji23][emoji23][emoji23] ungekuwa Ke ungeona kawaida tuNajivunia kua mwanaume yaani sijui ingekuaje mimi ningekua Ke
How about putting you in ignoring list..you cheap m*fNataka uchore 7 nikupake colgate.
How about putting you in ignoring list..you cheap m*f
Dalili ya uzeeHabari wapendwa poleni na majukumu, ni mwezi wa 2 sasa natokwa na ute mweupe mzito hata nikiwa danger day sitokwi na ule ute wa kuvutika ambao unasaidia kubeba mimba unaendelea kutoka tu huu mweupe mzito wakati mwanzo nilikuwa nikiwa danger day unanitoka ule ute wa kuvutika ila sahivi siuoni nashindwa kuelewa tatizo liko wapi naombeni ujuzi wenu kwa anayefahamu tatizo litakuwa ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] Ila usisahau kuwa uanaume nao kazi!Hapana mkuu mna mambo mengi sana kushuhulikia jinsia yenu mimi nisingeweza. Bado kujiremba daaah
Hakika Mungu fundi, ukiacha watu wachache sana tulio wengi tunaridhishwa na jinsi zetu na wala hatujutii au kutamani tungekuwa jinsi nyingine.Uanamke daah nakuonea huruma mkuu kabisa