Msaada: Sipati ute wa kuvutika nikiwa danger day

miss chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2019
Posts
303
Reaction score
660
Habari wapendwa poleni na majukumu, ni mwezi wa 2 sasa natokwa na ute mweupe mzito hata nikiwa danger day sitokwi na ule ute wa kuvutika ambao unasaidia kubeba mimba unaendelea kutoka tu huu mweupe mzito wakati mwanzo nilikuwa nikiwa danger day unanitoka ule ute wa kuvutika ila sahivi siuoni nashindwa kuelewa tatizo liko wapi naombeni ujuzi wenu kwa anayefahamu tatizo litakuwa ni nini?
 
Candida hao miss. Nenda Hosp au tafuta gynazole pharmacy upake

Danger days unatakiwa upate ule unaovutika and mostly unakuwaga colourless.
Hilo tatizo huwa linasababishwa na nini ili mwenzio ajifunze,akishatumia hiyo dawa uliyomwambia na akafanikiwa kuwa poa ajue jinsi ya kufanya hilo lisijirudie?
 
Hao ni Candid kwa lugha rahisi in fungus ambao hupatikani kutokana na kuwa na mahusiano n watu wengi! Punguza mahusiano tafadhali au ukienda Guest usitumie mataulo yao na acha kuvaa chupi iliyoanikwa ndani
 
Weka picha.
Habari wapendwa poleni na majukumu, ni mwezi wa 2 sasa natokwa na ute mweupe mzito hata nikiwa danger day sitokwi na ule ute wa kuvutika ambao unasaidia kubeba mimba unaendelea kutoka tu huu mweupe mzito wakati mwanzo nilikuwa nikiwa danger day unanitoka ule ute wa kuvutika ila sahivi siuoni nashindwa kuelewa tatizo liko wapi naombeni ujuzi wenu kwa anayefahamu tatizo litakuwa ni nini?
 
Habari wapendwa poleni na majukumu, ni mwezi wa 2 sasa natokwa na ute mweupe mzito hata nikiwa danger day sitokwi na ule ute wa kuvutika ambao unasaidia kubeba mimba unaendelea kutoka tu huu mweupe mzito wakati mwanzo nilikuwa nikiwa danger day unanitoka ule ute wa kuvutika ila sahivi siuoni nashindwa kuelewa tatizo liko wapi naombeni ujuzi wenu kwa anayefahamu tatizo litakuwa ni nini?

Weka vidonge vya gynozol vipo vitatu unaweka for 3 consecutive nights ni 12000/=
Nunua powder ya clotimazole utakua una sprinkle kene chupi kabla ya kuvaa make sure una chupi mpya au zilizopo umezifua kwa maji ya moto ya kuzianika na kupasi kabla hujavaa
(Sex is not advised during dosage)
Utanishukuru baadae [emoji3059]
 
Habari wapendwa poleni na majukumu, ni mwezi wa 2 sasa natokwa na ute mweupe mzito hata nikiwa danger day sitokwi na ule ute wa kuvutika ambao unasaidia kubeba mimba unaendelea kutoka tu huu mweupe mzito wakati mwanzo nilikuwa nikiwa danger day unanitoka ule ute wa kuvutika ila sahivi siuoni nashindwa kuelewa tatizo liko wapi naombeni ujuzi wenu kwa anayefahamu tatizo litakuwa ni nini?

Kuna gynozol ya kupaka ila mm niliona sio effective kama vidonge maana ukipaka cream ni km inaacha ubichi kule sehemu so ni usumbufu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom