Msaada: Sipati ute wa kuvutika nikiwa danger day

Msaada: Sipati ute wa kuvutika nikiwa danger day

Hao ni Candid kwa lugha rahisi in fungus ambao hupatikani kutokana na kuwa na mahusiano n watu wengi! Punguza mahusiano tafadhali au ukienda Guest usitumie mataulo yao na acha kuvaa chupi iliyoanikwa ndani
Eeeeeh
 
Asante mpenz kwa ushauri
Weka vidonge vya gynozol vipo vitatu unaweka for 3 consecutive nights ni 12000/=
Nunua powder ya clotimazole utakua una sprinkle kene chupi kabla ya kuvaa make sure una chupi mpya au zilizopo umezifua kwa maji ya moto ya kuzianika na kupasi kabla hujavaa
(Sex is not advised during dosage)
Utanishukuru baadae [emoji3059]
 
Asante mpenz kwahyo ninunue tu ya kupaka itanisaidia alaf nakuwa napaka tu nje au napaka na ndani?
Maelekezo utayakuta pharmacy au Hosp.

Kuna ya kupaka na vidonge, lakini make sure iwe gynazole, wasikupe clotrimazole. Kajielezee then Dr atachagua kipi ni sahihi kwako
 
Hilo tatizo huwa linasababishwa na nini ili mwenzio ajifunze,akishatumia hiyo dawa uliyomwambia na akafanikiwa kuwa poa ajue jinsi ya kufanya hilo lisijirudie?
They said.
1. Hao bacteria uwa wapo tu huko ila wakizidi sana watasababisha level ya PH kubadilika na wataanza kuleta mushkeri wa aina mbali mbali ikiwemo ya mtoa mada.

2. Kunawa vibaya, kutokea nyuma kuja mbele. Hii haitakiwi.... Wenye sector yao wanasema nyuma kuna bacteria as usual ila wakiwa huko hawana shida ila wataleta shida pale ukinawa kwa kutokea nyuma kuja mbele (yan uwatoe nyuma ulete mbele) na pia wale wa anal sex.

3. Mate ukeni pia sio mazuri, kuvaa pichu hazijakauka vizuri na hazijapigwa pasi ( kwa wale wanao anika ndani.

4. Unsafe sex, hizi towel zetu pia ni chanzo .
 
Ute gani tena jaman

IMG_0121.jpg
 
Unaweza kupata mimba bila kuona huo ute. Kwasababu wakati mwingine hautoki kiasi cha wewe kuweza kuona.
Huo uji unaotoka kama mzito sana, mwingi, sio mweupe nenda hospitali kwa uchunguzi zaidi Inaweza kuwa fungus au PID au hata tatizo lingine. Fika hospital kwa daktari wa wanawake upate msaada au vipimo zaidi.

Ila kama sio mwingi, mweupe, hauna harufu na hauna miwasho wala maumivu kwenye nyonga ni kawaida tu.
 
Unatoka mweupe alafu siwashi pia siyo mzito sana mwanzo ndo ulikuwa una kiharufu nikatumia flucan harufu ikaisha tatizo la sasa hivi ni ule ute wa kuvutika nikiwa danger day ndo siuoni

Mimba utapata hata usipoona huo ute. Kwasababu sio wakati wote unatoka. Kama una wasiwasi kaonane na gynecologist
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom