Msaada sina mtoto mpaka sasa

Msaada sina mtoto mpaka sasa

Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahisi nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijaoa.
Nifanyeje? mimba nne zimetoka sielewi au nimelogwa.
NIMEFANYIZIWA MWANAMKE MIMBA ZOTE ZINATOKA.

USHAURI WAKO.

Tatizo la nchi hii watu wanapenda kusemea vya wenzao we mimba zako hizo?
Mbona mwenyewe halalamiki! Hazikuwa zako hizo!
 
Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahisi nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijaoa. Nifanyeje?
Mimba nne zimetoka sielewi au nimelogwa.

USHAURI WAKO.

watu wengine hawajianigi nq maisha bhana..
 
pigaa nje mkuu uone kama utaweza kupata mtoto
 
ndugu yangu utakuwa umerogwa asikuambie mtu kaka uchawi upo(na kinyume chake ni nguvu za mungu pia zipo)sasa inategemeana na imani yako kama vp,nenda lyamba lya mfipa wakakusaidie,kamam vp nenda kwenye maombi
 
umewahi kwenda hospital kucheki hilo tatizo lako mkuu au umewaza mambo ya kufanyiziwa tu

Kama hospital tu nimeshazmaliza, kama ni madokta bingwa tu cjui ni nani bado, mabingwa wa arusha, dar, mwanza, dodoma labda mbeya ndio bado cjaenda. Kama ni pesa tu zmetumika. ila bado cjakata tamaa
 
Mpe nduguyo akutestie halafu tusikilizie kama itatoka. By the way najua undugu wetu haujaisha.
 
Mara zote wenye makosa hujishtkia sana,adhabu hausubir mbinguni inaanza hapa hapa dunian...bt anayways kwakuwa hukasema uko wapi ili tujue sehem ambayo walau unaweza kukutana na doctor wanaoweza kukusaidia..sema uko wapi’
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom