Hii ni kauli rasmi ya chama au binafsi?
Sawa.. sister hebu come zis way upige kura kama mwanachama mwaminifu
mie mzima kabisa ..MEANDU mzima wewe......
Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahis nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijao nifanyeje. mimba 4 zmetoka sielewi au nimelogwa.! NIMEFANYIZIWA MWANAMKE MIMBA ZOTE ZINATOKA USHAURI WAKO
Kwa ruhusa yako, kama ukiona inafaa, naomba Honey Faith aingizwe kwenye chama.
Hili neno naona limempendeza mkiti na aje hapa nimsajili.. Honey Faith upo wapi?
Na hawa wafuatao waione kwa taarifa Mentor Nicas Mtei Ntuzu Tized mwekundu The Unknown et al
kuna sababu kadhaa ambazo zinasababisha
- muulize mkeo kama alishawahi kutumia njia yoyote ile ya kuzuia mimba kabla hamjaoana
- Vipi mnatumia pombe wote wawili? kama jibu ni ndiyo basi mkeo asitumie kabisa kilevi miezi minne ya kwanza baada ya kupata mimba.
- Mkeo akiugua kipindi ana mimaba asinywe dawa yoyote ile mpaka apate ushauri wa daktari maana kuna dawa zinasababisha mimba kutoka.
- Mkeo asinywe kabisa chai ya rangi. majani ya chai yanatoa mimba.
- Mkeo mimba anazopata nyingi zinaonekana zinatunga nje ya tumbo la uzazi hivyo kutoka ni rahisi. Mimba hizi nyingi zinaoneka zinatunga kwenye mirija ya Fallopian.
- Mkeo yawezekana amewahi kupata magonjwa ya zinaa hasa "Chlamydia" na hivyo kupata kitu inaitwa kitaalamu "Pelvic Inflammatory Diseases" (PID) ambayo inaweza kusababisha mimba kutoka na hata utasa kwa mwanamke ikiwa haitapata tiba kwa muda mwafaka. Ungonjwa huu unatibika hivyo wahi kumwona daktari mapema.
- Yawezekana pia kuna "chromosomal abnormalities" hivyo kufanya vipimo husika hospitali vitasaidia kubaini tatizo hilo.
- Ukipata matatizo usikimbilie kwa waganga wa kienyeji.
- Mwanaume jaribu kula sana mboga zilizoungwa viungo vya asili kama karanga, ufuta na tangawizi kwa wingi.
- Acha michepuko
mwendo ya ukimwaga ugali namwaga mboga
Kwa ruhusa yako, miss neddy apate uanachama wa kudumu. Amefanya vizuri kwenye kipindi cha majaribio.
Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahisi nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijaoa.
Nifanyeje? mimba nne zimetoka sielewi au nimelogwa.
NIMEFANYIZIWA MWANAMKE MIMBA ZOTE ZINATOKA.
USHAURI WAKO.
mwendo ya ukimwaga ugali namwaga mboga
Hivi huyu miss neddy alikuwa chini ya kocha gani tena:what:
Hili neno naona limempendeza mkiti na aje hapa nimsajili.. Honey Faith upo wapi?
Na hawa wafuatao waione kwa taarifa Mentor Nicas Mtei Ntuzu Tized mwekundu The Unknown et al