autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Kamwambie mkeo hivyo umefanyiziwa na mchepuko
Alafu uje utupe mrejesho
I cant wait
Alafu uje utupe mrejesho
I cant wait
Mwanaume hashiki mimba rafiki, kama mkeo mimba zinatoka usiamini kulogwa mwone daktariMi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahis nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijao nifanyeje. mimba 4 zmetoka sielewi au nimelogwa.! NIMEFANYIZIWA MWANAMKE MIMBA ZOTE ZINATOKA USHAURI WAKO
Umeenda hospitali mkuu? Nenda kachek tatzo ni nini, kuna mambo ya rhesus factors hapa, kumbuka uchawi ni kama imani, ukiendekeza kichwani utakuwa muumini kabisa, consult the doctor please!
hahaaa mie mwenyewe atakaeniacha namfanyizia....
MEANDU mzima wewe......hahahahhaa kumbe una vituko hivyo.
hahaaa mie mwenyewe atakaeniacha namfanyizia....
hahaaa mie mwenyewe atakaeniacha namfanyizia....
Anza na mimi
hata mimi akiniacha namfanyia mbaya....
Mkuu pole sana, sielewi mazingira uliyopo ila kuna umuhuimu wa kufanyiwa counselling juu ya imani potofu uliyojijengea. Baada ya hayo nendeni hospitali mkafanye check-up juu ya vizazi vyenu wewe na mwenza wako.Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahis nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijao nifanyeje. mimba 4 zmetoka sielewi au nimelogwa.! NIMEFANYIZIWA MWANAMKE MIMBA ZOTE ZINATOKA USHAURI WAKO