Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Jaribu na dawa za kishia. Zina nguvu kuliko za kisuni😅😅
 
Nenda hospital kapime pressure uzito na urefu mtaalam atakushauri cha kufanya au muone mtaalamu wa saikolojia.
 
Si kweli we ni dalali wa viwanja na mashamba acha utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…