Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,086
- 2,904
Sijaanza kuitangaza. Kwa sasa waliokuwa wanakunywa dawa ndiyo walikuwa wanaleta wengine kunywa.Aiseee kama ni kweli mbona hauitangazi dawa? Ndiyo kwanza naona leo tangazo lako au kama kuna sehemu ulishawahi kutangaza ,iwe facebook ,insta,tiktok au banners mitaani ebu screenshpot/piga picha tuone ,nikupe benefit of doubt.
Kuna plastic surgery ya mashine mbona, kusimamisha sio kikwazo tenaAliyekwambia una tatizo kakudanganya, mbona wanaume wote kusimamisha ni kazi.
Upo JF muda mrefu sana ,na nyuzi za upungufu wa nguvu za kiume ni nyingi sana ,ulishawahi kutoa hilo tangazo hapo nyuma? Au ni leo ndiyo umeanza kutangaza?Sijaanza kuitangaza. Kwa sasa waliokuwa wanakunywa dawa ndiyo walikuwa wanaleta wengine kunywa.
Mfano mtu A ana tatizo akinywa na anajua rafiki yake B naye ana tatizo hilo, mtu A kwa kupona kwake atamjulisha B kuhusu dawa na B atakuja na mlolongo utaendelea.
NiinboxTafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Sijawahi kutoka tangazo. Ndiyo maana hata post ya kwanza nimeandika "japokuwa nitatoa tangazo mwezi wa nane".Upo JF muda mrefu sana ,na nyuzi za upungufu wa nguvu za kiume ni nyingi sana ,ulishawahi kutoa hilo tangazo hapo nyuma? Au ni leo ndiyo umeanza kutangaza?
Anataka tu kuona akiamka asubuhi iwe imesimama na akitaka kulala usiku iwe imesimama!.unataka za nini?
hivyo tu? ashikilie na mikono basiAnataka tu kuona akiamka asubuhi iwe imesimama na akitaka kulala usiku iwe imesimama!.
Hakuna daktari mpumbavu kama huyoKiongozi we ni daktari lakini 🤔
Ushauri ndio huo,kazi ni kwake sasa!.hivyo tu? ashikilie na mikono basi
Ubarikiwe kwa kejeliUshauri ndio huo,kazi ni kwake sasa!.
Ubarikiwe wewe na vizazi vyako kwa kadri unavyonikejeliUshauri ndio huo,kazi ni kwake sasa!.
Mungu akulipe wewe na vizazi vyako kwa unavyostahilihivyo tu? ashikilie na mikono basi
Mkuu ukosefu wa nguvu za kiume tu ndo unafanya utoe laana kwa fake IDMungu akulipe wewe na vizazi vyako kwa unavyostahili
Uo ni wiziJapo tangazo nitaleta rasmi kuanzia mwezi wa nane, ila ngoja nikupe kwa kuanzia.
Andaa Tsh 1,000,000/= kama gharama ya dawa, then tafuta mwanamke, ukishapata hivyo viwili nipigie kwa Namba nitakayokupatia hapa chini.
Utakuja nilipo, nitakupa dawa (mwanamke utakayekuwa naye ni kwa ajili ya mazoezi kwa vitendo), yaani dawa hiyo unakunywa Kisha kinafuata kitendo (ingawa si dawa zote ni za kunywa).
Tambua hivi, utaondoka baada ya kujiridhisha kuwa kazi inafanyika kisawasawa na inasonga mbele.
Dawa hiyo hata yule hajawahi simamisha kabisa inamfaa.
N.b. Kama hutakuwa na mwanamke aliye tayari kusafiri na wewe, utakuja na nitatafuta mwanamke hukuhuku (utakuja na pesa ya kumlipa huyo mwanamke atakayekuwa na wewe kukuhudumia kitandani).
Pia, kama shughuli zako zitakubana usiweze kusafiri kuja nilipo, utalipia usafiri wa Mimi kukufuata ulipo. Nitakuja, nitakupa dawa muhimu lazima uwe na mwanamke kwa ajili ya practical (maana ili ujue kama dawa inafanya kazi, ni lazima baada ya kunywa ufanye kitendo sasa si kunywa dawa tu).
Kama kweli uko serious na tatizo, nipigie katika Namba.
0650 140 211
Na mimi nikasema ulipwe kwabukosefu wa hizo hizo "nguvu za kiume tu"Mkuu ukosefu wa nguvu za kiume tu ndo unafanya utoe laana kwa fake ID
wote hatuna mkuu, tuache kumpa Mungu kazi nzito hivi
Lakini mimi sijajibu kwenye ujumbe wako,nimechangia majibu kwa aliekujibu.Ubarikiwe wewe na vizazi vyako kwa kadri unavyonikejeli
Sio kila siku utaamka imesimama, kuna time huwa inasijimamia zake usiku mara kibao ukiwa umelala na asubuhi unaamka haijasimama, na siku nyingine monie inakaza kama gunzi.Huna tatizo..mbona mi kusimamisha asubuh ni mara chache..ila zoez la uchakataji ni endelevu na la hali ya juu
amechanganyikiwa mkuu, msameheLakini mimi sijajibu kwenye ujumbe wako,nimechangia majibu kwa aliekujibu.