Msaada simu imetoa mistari

Msaada simu imetoa mistari

Ni kweli natumia Sony Experia 5 mark 11 green line iko tayari
Sema naona wachina washa anza kufyatua Vioo feki vyake, yuan 255 naviona kama laki ndio vimetoka, soon tutaanza kuvipata chini ya laki.

Hio simu naikubali sana.
 
Mkuu nimeona mtu anauza one plus 11 Kwa 900k ina storage ya 512 ila ni used vipi hpo panafaa??

Ama wewe nahitaji unishauri simu gani Kwa budget ya M1 iwe used ama mpya ila iko na FLAGSHIP CAMERA na GOOD BATTERY LIFE na storage walau 512 GB

Nb. Samsung sihitaji kabisa wala iPhone.
Sio mbaya mkuu OP 11 kwa hio bei, japo oneplus camera zake sio top level ila still itazipita midrange zote za hio price point.

Tatizo green Line issue bado ipo kwa hio simu, ila matengenezo yake ni bure sababu oneplus wenyewe wame admit, issue inakuja hutapata wakala wa kutengeneza hapa itabidi upeleke nchi ilionunuliwa kama India, Usa etc.
 
Na vipi kuhusu
Sema naona wachina washa anza kufyatua Vioo feki vyake, yuan 255 naviona kama laki ndio vimetoka, soon tutaanza kuvipata chini ya laki.

Hio simu naikubali sana.

Any suggestions Kwa milioni 1 used phone Kwa hvyo vigezo?
 
Back
Top Bottom