Msaada: Simcard yangu ya Halotel haipandishi mnara wa 4G

Msaada: Simcard yangu ya Halotel haipandishi mnara wa 4G

Ng'onyo

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
146
Reaction score
75
Habari wanazengo, Naomba msaada wa ushauri nifanyeje simcard yangu ya Halotel inasoma H+ badala ya 4G. Nipo dar mjini ambapo hakuna shida ya network, pili natumia samsung A12 ina uwezo wa kusoma 4G internet network, tatu kwenye phone settings zangu nime select 4g/lte tayari.

Nimeshafanya mawasiliano na Halotel moja kwa moja na kupitia kwa Haloshops kuhusu tatizo hili lakini hakuna mafanikio zaidi ya kufanya simcard swap na kurenew simcard kutumia ingine yenye 4G pasipo mafanikio.

Nikiongea na Halotel customer care wanasema tunafanyia kazi tatizo hili tutakurejea after 24hours lakini hakuna mrejesho wowote. Sasa wadau kwa anaefahamu nini cha kufanya naomba anipe ushauri hapa.

Asante


Screenshot_20210929-093149_One UI Home.jpg
 
NAMI NNA TATIZO KAMA HILI NA BADO SIJAPATA SULUHISHO...... MWENYE SULUHU ANISAIDIE KUNIJULISHA KWA 0625691081
 
Back
Top Bottom