Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Ahahahaaa . Huko baridi sana0629105649 Shule IPO mafinga / Iringa
Ahahahaaa . Huko baridi sana0629105649 Shule IPO mafinga / Iringa
Inaitwa mbezi high school ipo mbezi mwisho yan mbezi ya kimara ni bei rahisi sana ila kombi hizo wanafanya vzr sana hua hawafelishi hizi combiBro inaitwaje hyo school
Unaweza nipa namba zao mana spati details zao vzur kweny googleYaaah mkuu na bei chee tuu na wapo vizuri kuna mama mchwampaka pale bingwa wa historia mzuri
1.7mHV enaboishu vip Apo Arusha ada yake beo gani kwa sas maan nilikula olevel pale 2004 nilihitimu
Ante ngoja niwagugoInaitwa mbezi high school ipo mbezi mwisho yan mbezi ya kimara ni bei rahisi sana ila kombi hizo wanafanya vzr sana hua hawafelishi hizi combi
Mbezi high schoolBro inaitwaje hyo school
Nakubaliana na wewe hizi shule za ada zake ni nafuu sana, pia kuna shule inaitwa Ruhuwiko high School ipo chini ya JWTZ mkoa wa Ruvuma.Jaribu kucheck shule za jeshi
Jitegemee
Makongo
Airwing
Hizi ni shule nzuri sana zina nidhamu ya malezi na gharama zake ni nafuu haziwezi kuzidi 900k