Msaada: Series ya 24

Msaada: Series ya 24

decomm

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
726
Reaction score
666
Habari wana jamvi!

Nahitaji series za 24. Kama yupo mdau mwenye hiyo 24 kwenye Hdd, high quality anijulishe, nitachangia kidogo.

Kuanzia Season 1 hadi hii iliyoisha juzi juzi Uingereza.

Nipo Dar.
 
Habari wana jamvi!

Nahitaji series za 24. Kama yupo mdau mwenye hiyo 24 kwenye Hdd, high quality anijulishe, nitachangia kidogo.

Kuanzia Season 1 hadi hii iliyoisha juzi juzi Uingereza.

Nipo Dar.
Mimi ninayo lakini sipo Dar.
Nashindwa nikusaidiaje.
 
Upo mkoa gani mkuu, mie ni mtu wa kuzurura sana, huenda ikatokea siku nikapita uliopo
 
Mi ninayo yote. na nyingine kibao tu...niko dar...utanipa shs ngapi kwa 24?
 
Wadau, bado sijapata hiyo 24, mwenye nayo tafadhali anijulishe, nitachangia usumbufu kidogo. Nipo Dar kwa sasa.

Iwe high definition na kwenye hdd. Nita copy tu. Series kuanzia ile ya mwanzo hadi hii iliyoisha juzi juzi Uingereza.
 
Kenyan-Tanzanian and Alai,

1. Kwanza nawashukuru kwa michango yenu! My contribution relates to supporting Kibaki- the other side of the coin! It is fair enough to evaluate Kibaki both on positive and negative aspects a president! You seem to be so much biased to Raila! Kama ukisoma in between lines- you both seem against Kibaki, so my position is intended to weigh the balance!

I don’t believe Kibaki ni mtu mbaya kisi hicho- you know Kenyan politics can be very dirty!

Again there is no guarantee that Raila will change Kenya for better or worse- this is politics! Remember high expectations in Malawi after Banda and Zambia after Kaunda- have things in the two countries changed for worse or better?

2. Over Mungiki- crime is not only unique to Kenya- see what is happening in SA- do we blame Kibaki for Mungiki? Is Kibaki satisfied with Mungiki activities? I don’t think so! Over imported crime in Tz- should we blame Mbeki for increased crimes in Maputo?

My point is tumpe tena Kibaki second term- just like other leaders in the region! Raila in 2012 naye apewe 2 terms! Why did Moi rule over 20 years- Kibaki is mere 5 years- tayari mmeshamchoka?

Well, we are just making arguments kama ndugu! Raila naye ni ndugu yetu! I will also request you to discuss Kibaki also on the positive aspects he has done to Kenyans since 2002!

ungekuwa moshi ningekupa
 
Ninayo From Season 1 to 9 + Behind the Scene... Total ni 74.6GB. Sipo Dar...(afrosense255@gmail.com)
 
Back
Top Bottom