Msaada: Sehemu zenye "karaoke" Dar es Salaam

Msaada: Sehemu zenye "karaoke" Dar es Salaam

hii elaa kweli ya zimbabwe sa we nawe utaenda kareoke bilaa kuwa na mtu pembeni?777 ni kudanga tu

Anaweza kuwa Mtu wa pembeni kama Mke. Si kila anayeenda karaoke/club ni lazima atoke na Mwanamke. Inaonyesha triple 7 inakuzuzua kweli!!
Kudanga ndiyo nini dogo?
 
Hivi Kibo Lounge pia kuna karaoke?! Sijaja siku nyingi huko ila kuna uhaba wa totoz pale!
Haahhaahhaahh!!
Mkuu,umenichekesha!!
Karibu_bhna_kibo_lounge,me_naishi_mtaa_tatu_nyuma_yake.

Ila_kiukweli_vimwana_wapo,but_sio-kihivyo.
 
Duu huu Uzi umeibuliwa wapi
 
Babra hassani kila siku ametangaza n escape one humsikiagi? Siku sijajua ni lini...ahhhaaaaa Babraaaa akitangaza lazima ataje maneno kama sauna,pizza,burger,mishkaki ya samak,escape one . ... Sasa njoo umuone sura na umbo vitu viwili tofauti kwl Mungu wa ajabu....
 
Escape one hamna kitu pale, imebaki jina na mikele tu
 
Screenshot_20171214-204045.png
 
Back
Top Bottom