Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
😀😀😀sawa ntabandika uchi usoni ili uje me ni ke kiurahisiHapana,ili kesho nikuvizie nikuone kama we ni ke,kama ni me nisijihangaishe. Hahahaha
😀😀😀sawa ntabandika uchi usoni ili uje me ni ke kiurahisiHapana,ili kesho nikuvizie nikuone kama we ni ke,kama ni me nisijihangaishe. Hahahaha
Wakuu naombeni msaada wanaojua sehemu nzuri za "KARAOKE" na live band hapa jijini, itakua poa mtu akisema mahali na siku, sana sana "karaoke" mana nahisi wkend hii itaanza mapema na najisikia kuimba imba tu,
Wale watakaoshauri kanisani asanteni sana ila kila kitu kina nafasi yake ya kaisari tunampa kaisari
Tujuzane wakuu, Natanguliza shukrani
Ok hapo nimejitahidi kukumbuka maanake zipo nyingi.Nafikiri 777 ni Jumatano!!
Kibo Lounge - Tegeta Jumatano
mkuu nimecheka kwa nguvu kweli.mburahati mianzini na karaoke..au mburahati kwa shebeeMburahati mkabala na Shule ya Mianzini, huwezi kupotea!
Sawa ntakuzoomwaooooo i wil be there too

Hapana mkuu wasiwasi wako tummh hiyo ID ukiongeza herufi N mwishoni ni hatari
Kooo nijiandae sio...Siyo wewe dia. Ni lile jamaa lingine. We ntakukula nyuchi kesho
Limefanyajeh?![]()
![]()
bichwa lako
Ntakwambia keshoLimefanyajeh?
Kabisa Mkuu,andaa mambo vizuri. Piga maji ya kutosha. Ipige pasi kusiwe na manyonya yale ya nguo; nikaikandamize.Kooo nijiandae sio...
Aya,utanambia tulishamaliza mzunguko wa kwanzaNtakwambia kesho
Gari ya nini?! Mwendo wa bajaj tu.Wazeee wa mizunguko utawajua tu na vigari vyao vya mkopo
hii 777 IPO wapi?
njoo tripple seven utanikutaa hapa kiwanjaa cha mapedesheeeeee wa mjini ukija hapa ukikosa wa kuondoka naye jua ww una nuksi tangu tumboni
Hivi Kibo Lounge pia kuna karaoke?! Sijaja siku nyingi huko ila kuna uhaba wa totoz pale!Mikocheni karibu na round about ya Kawe. Ni baada tu ya JKT
Hivi Kibo Lounge pia kuna karaoke?! Sijaja siku nyingi huko ila kuna uhaba wa totoz pale!
Mkuu hii ni pesa ya Zimbabwe au ya wapi hii!?Wabongo shida sana. Muanzisha thread anataka sehemu ya kustarehe kwa kuimba wewe unamwambia Mtu wa kutoka naye!!
Halafu Tripple 7 ni kiwanja cha Watu wote si mapedeshee. Ukiwa na Tshs.20,000,000 unapata coupon unaingia Club na kupewa bia nne au kinywaji chochote chenye thamani hiyo.