westgate
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 278
- 279
Bado panabamba kweli!?? Pashachoka sa hiziTripple 7
Bado panabamba kweli!?? Pashachoka sa hiziTripple 7
Karaoke yao nzuri badoBado panabamba kweli!?? Pashachoka sa hizi
Ni jumapili sio jumatano tenaNafikiri 777 ni Jumatano!!
Kibo Lounge - Tegeta Jumatano
Mlalakuwa kama unaelekea maringoHii iko wapi mkuu.. mana leo lazima
Hahaha .... wewe ni kiguu na kitanda au?Viguu na njia wa mji utawajua tu
Bar ya kipuuzi ileLondon Lounge Ubungo Jumamosi
Mkuu pali hit sana...lkn wkiiondoa bend yao uchwaara patakuw bieBar ya kipuuzi ile
round about ya kawe pia kwa wakazi wa tabata pale mikasa huwa pana bamba sanaHii iko wapi mkuu.. mana leo lazima