Galaxy s6 ina tick zote kasoro battery life. Battery life ya s6 ni shida. Ndio maana na suggest s6 edge, kidogo waliboresha battery life.
Note 4 kwenye ina battery size kubwa. Alafu its removable, unaweza tembea na spare, which is a plus. Pia ina SD card, kama wewe ni mtu wa mapicha picha, itakufaa. But camera ya note 4 is not as good as s6.
IPhone 5s, battery life rocks, its small in size but iOS wameoptimize vizuri utumiaji wa battery. Ina trump s6 kuleeee, but huwezi linganisha na removable battery ya Note 4. Camera, well its an iPhone, they never disappoint. Camera yake inatoa colours close to reality, haina kurembesha kama Samsung. Which is personal preference. Huwezi linganisha na s6 hata siku moja, but unaweza linganisha na Note 4. Kwa mtazamo wangu note 4 has a better camera than iPhone 5s. IPhone is an overall good phone kama wewe ni mtu wa point and shoot.
Tecno hiyo sina uzoefu nayo. Ningekusaidia. But kuna sababu kwanini Tecno yenye same specs as note 4 inauzwa half the price of note 4. Tecno itoe kwenye comparison. Sio league ya hizo simu nyingine.
Conclusion:
Mimi ningechukua s6 but naona battery itakuumiza sana. Note 4 is a good balance, pia iPhone 5s.
Between the two decide, screen size? Au wewe ni android or iOS? Mimi ningechukua note 4, ninayo iPhone 6s its amazing but napenda Samsung devices(android) That's personal preference. Naamini nimekusaidia kidogo.
-callmeGhost