TheJungleMaster
Member
- Mar 20, 2017
- 74
- 124
Kila mtu anapenda vitu vizuri mkuu... S7edge naona ka tayari imeshapitwa na wakati... Hizi s8 mbili ziko powa kama unapendelea product za Samsung!! Bei zake Sasa ni ndo balaa
Kwa matazamo wangu, sijaipenda sana s8, since ni kubwa, na home button imeenda na maji. Sasa hivi fingerprint scanner ipo nyuma. Good thing about it is that, haina bezel kabisaaaaaaaa. Alafu video zitakuwa so weird.Kila mtu anapenda vitu vizuri mkuu... S7edge naona ka tayari imeshapitwa na wakati... Hizi s8 mbili ziko powa kama unapendelea product za Samsung!! Bei zake Sasa ni ndo balaa
what a cool feature. Mimi mpenzi wa camera, hawaja renovate, zaidi ya kuweka 8MP mbele.Daaah wengine wenye S4 ya mwaka 2013 sijui lini tutafika huko kwenye S8+
Binafsi sijazipenda sana, nilitaka kumpa mbadala mkuu ... Nasubiria kuona htc, OnePlus, Motorola na Sony watatuletea vitu gani hapo baadae! LG G6 inaweza kufaa piaKwa matazamo wangu, sijaipenda sana s8, since ni kubwa, na home button imeenda na maji. Sasa hivi fingerprint scanner ipo nyuma. Good thing about it is that, haina bezel kabisaaaaaaaa. Alafu video zitakuwa so weird.
Apart from its fancy design and little bump in specs. Its just another s7 with a bigger screen. Mi naona ni kama note 7 imefufuliwa tu. Kizuri wameadd kufungua simu na jicho lakowhat a cool feature. Mimi mpenzi wa camera, hawaja renovate, zaidi ya kuweka 8MP mbele.
Niseme tu regular s8 ni 5.8' s8+ ni 6.2' yani hapo hata s7 edge hailingani na regular s8. That is too damn big. Unless kama were ni mpenzi wa big screens.
Tusubiri watu wazitumie kwa muda tujue mapungufu yake. Kwa mtazamo wangu s7 is again an amazing android for the 2016/2017 smartphone market. S8 ni big brother tu.
-callmeGhost
Ni simu mzuri sana ila tatizo dogo ni kuwa glass protector zake hazishiki vemawadau naomba kujulishwa kuhusu ubora na mapungufu ya simu ya Samsung Galaxy S7 edge kwa waliobahatika kuzitumia maana ninaipenda sana na nina mpango wa kuinunua katikati ya mwezi May 2017 Mungu akinijalia uhai....natanguliza shukrani!!!
Haa Haa Haa kweli kabisa MkuuUtaimiliki hiyo kipindi kuna S14+.
Aisee nimetoka kusoma reviews za s8. Duh! Wanaikubali sana. Sijaona negative reviews so far. Anyway, kwa sasa bei kubwa kama iPhone 7. Nitanunua ikitoka s9Binafsi sijazipenda sana, nilitaka kumpa mbadala mkuu ... Nasubiria kuona htc, OnePlus, Motorola na Sony watatuletea vitu gani hapo baadae! LG G6 inaweza kufaa pia
hapo itabid uwe makin sana kuhakikisha huangushi ovyoNi simu mzuri sana ila tatizo dogo ni kuwa glass protector zake hazishiki vema
Mkuu mimi ilinitoka mkononi uwanja wa taifa hadi chini sasa hivi imevunjika kioo ila inapiga kazihapo itabid uwe makin sana kuhakikisha huangushi ovyo
angalia dimension miaka ya karibuni kioo hakitumiki tena kupima ukubwa wa simu.Kwa matazamo wangu, sijaipenda sana s8, since ni kubwa, na home button imeenda na maji. Sasa hivi fingerprint scanner ipo nyuma. Good thing about it is that, haina bezel kabisaaaaaaaa. Alafu video zitakuwa so weird.
Apart from its fancy design and little bump in specs. Its just another s7 with a bigger screen. Mi naona ni kama note 7 imefufuliwa tu. Kizuri wameadd kufungua simu na jicho lakowhat a cool feature. Mimi mpenzi wa camera, hawaja renovate, zaidi ya kuweka 8MP mbele.
Niseme tu regular s8 ni 5.8' s8+ ni 6.2' yani hapo hata s7 edge hailingani na regular s8. That is too damn big. Unless kama were ni mpenzi wa big screens.
Tusubiri watu wazitumie kwa muda tujue mapungufu yake. Kwa mtazamo wangu s7 is again an amazing android for the 2016/2017 smartphone market. S8 ni big brother tu.
-callmeGhost
Sidhani kama itatoka karibuni, wanatabia za kutoa 's' version. So iPhone 7s ndo next kwa prediction.Vuta subira uchukue iphone8
hongera mkuu from TECNO-Y2 to SAMSUNG S7...hongera tena....
Mkuu unafanyaje ili kuitambua samsung original??Same comparison.. Except; tofauti ya regular s7 na s7 edge ni screen size, battery size na dual curved edges basi. The rest is the same.
Battery size ya s7 edge ni 3600mAH, s7 na note 5 zote ni 3000mAH. So kama ni s7 edge na note 5, s7 edge ita last 1 hour longer than the note 5(just an estimate).
Je unapenda kushowoff zile dual edges? S7 edge is sexy. Ukitaka kuturn heads, chukua s7 edge.
Mwishoni ni yale yale... Its the same phone tofauti ndo hizo![]()
![]()
.
Kama ni s7 edge na hela sio shida, beba s7 edge. Note 5 is an amazing phone but s7 edge is a better phone. Futilia mbali camera, take the rest.
-callmeGhost
Huwa material ya screen zao hazihitaji kuweka tena protector.Ni simu mzuri sana ila tatizo dogo ni kuwa glass protector zake hazishiki vema
Pia screen zao ni very delicate ila ni simu mzuri sanaHuwa material ya screen zao hazihitaji kuweka tena protector.
Huwa screenProtector zinawekwa zaidi kwaajili ya kuzuia Scratches sio kuzuia screen isivunjike. Ukiangalia hizo simu wanatumia material ambazo ni impure/mixed ambazo zinakuwa na strength zaidi ya material nyingi ikiwemo chuma, ndo maana hata ukikwangua kwa kisu ,kisu ndicho kinaisha makali.Pia screen zao ni very delicate ila ni simu mzuri sana
Usemayo nikweli mkuu maana mimi nimeamua kuitoa kabisa na screen haina mikwaruzo wala nini hii simu ni mzuri sana na kwa kamera ndio balaaHuwa screenProtector zinawekwa zaidi kwaajili ya kuzuia Scratches sio kuzuia screen isivunjike. Ukiangalia hizo simu wanatumia material ambazo ni impure/mixed ambazo zinakuwa na strength zaidi ya material nyingi ikiwemo chuma, ndo maana hata ukikwangua kwa kisu ,kisu ndicho kinaisha makali.
Mwanzoni nilidhani zile video za review ni za kuchakachua. Lakini kuna jamaa alinifuata na kama Galaxy S 3 au S4 kipindi hicho akanifanyia demo kwa kukwangua kwa ufunguo wa gari mzee niliamini. Kufuatilia kwa mtaalamu mmoja wa miamba na madini akanielewesha kuwa hawatumii pure glass. Bali ni glass yenye mchanganyiko wa madini mengine ambayo inakuwa ngumu ingawa haifikii almas ila chuma na mawe havioni ndani.Usemayo nikweli mkuu maana mimi nimeamua kuitoa kabisa na screen haina mikwaruzo wala nini hii simu ni mzuri sana na kwa kamera ndio balaa