Msaada Samsung S7 Edge..!!!!

Msaada Samsung S7 Edge..!!!!

Mwanzoni nilidhani zile video za review ni za kuchakachua. Lakini kuna jamaa alinifuata na kama Galaxy S 3 au S4 kipindi hicho akanifanyia demo kwa kukwangua kwa ufunguo wa gari mzee niliamini. Kufuatilia kwa mtaalamu mmoja wa miamba na madini akanielewesha kuwa hawatumii pure glass. Bali ni glass yenye mchanganyiko wa madini mengine ambayo inakuwa ngumu ingawa haifikii almas ila chuma na mawe havioni ndani.
Mkuu hata kwenye touch yake yaani una enjoy hii hapa iangalie
7483be44139fb5b3a87ab05d4360d94e.jpg
 
Mwanzoni nilidhani zile video za review ni za kuchakachua. Lakini kuna jamaa alinifuata na kama Galaxy S 3 au S4 kipindi hicho akanifanyia demo kwa kukwangua kwa ufunguo wa gari mzee niliamini. Kufuatilia kwa mtaalamu mmoja wa miamba na madini akanielewesha kuwa hawatumii pure glass. Bali ni glass yenye mchanganyiko wa madini mengine ambayo inakuwa ngumu ingawa haifikii almas ila chuma na mawe havioni ndani.
unamaanisha saphire? hawajaanza kutumia saphire bado, scratch zinapata hizi simu sema ni ngumu tu na anaetengeneza hizo glass ni corning zinaitwa gorilla glass, ni scratch resistant ila sio proof,

kuna sehemu nimeona wanaelezea hivi,

ugumu wa haya material kwa ohms upo katika scale ya 1 mpaka 10, 1 ikiwa laini na 10 ikiwa ngumu kabisa.

almasi yenyewe ndio ngumu ina score ya 10 na saphire inafuatia kwa karibu ikiwa na score ya 9.

hizi gorilla zenyewe zina score ya 6 ni ngumu na chuma hakiwezi kukwangua kama ulivyosema lakini kuna material ambayo yanakwangua yanaitwa quartz

quartz kwenye hio scale ya ohms yenyewe ina score ya 7 hivyo inakwangua gorilla,

quartz inapatikana kwenye vumbi, mchanga na kwengineko hivyo simu inapokuwa exposed kwenye quartz na zikakaa juu ya kioo kitu chochote kikikwaruza basi scratch zitapatikana iwe ni funguo, ukifuta na shati, mkono etc.

ndio maana watu wanatumia protector hasa tempered glass
 
huyu mtu anaonesha ni mtaalamu wa Rocks anasema saphire ni colored so ili iwe Transparrent kama glass wanamix na madini mengine (its like ALLOY in metal) although pia kwa upande wa Quartz sio zote zipo kwenye form ya kuweza kuScratch Glass.
 
Hili mwenyewe lilikuwa lina nisumbua.

Kumbuka camera ya note 5 ni kama ya s6, so its fantastic. Ila hapa kusikusumbue kivile maana s7 ina post processing sio ya nchi hii, utasema picha imepigwa na DSLR. Difference utaona kwenye big screen tho.

Note 5 ina s pen. S7 naamini unazungumzia ile ndogo, sio edge. Kwahiyo note 5 ni advantage kama wewe ni mpenzi wa kuandika notes... Kama upo chuo ni safi sana, overall kama your daily life ni kuandika short notes ipo poa. Kuna jamaa wangu, yeye s pen hatumii kabisa, anatoa kushowoff kwenye sherehe tu .

Usisahau screen size. Kama unaongelea s7 tu amabayo sio edge. Jiulize unapenda 5.1' screen au 5.7'. Kama unapenda screen estate, chukua note 5. Zote zina resolution sawa, pixels note 5 inazo ndogo but hutaona difference na macho ya binadamu. So its not significant.

In terms of battery life, zote sawa. 3000mAH. Don't worry about that. Zote zina wireless na fast charging.

Kwenye note 5 unaweza kumulti task. Kwa maana ya kufungua apps mbili. Moja juu nyingine chini at the me time. Which is awesome. S7 huwezi unless its the edge. Note 5 ukinunua nakushauri uweke bundle la maana uupdate. Sababu ni; note 5 ilitoka na bad ram management. Yani kwa mfano ulikuwa unasoma kitu Google chrome, upo page ya 10, ukafunga, ukifungua unakuta inareload upya page 1 . But walitoa update amabayo ili fix hii. Wenzangu wanaotumia note 5 wanasema ipo poa now.

Note 5 sio water resistance. Lakini mimi naona hizi ni gimmicks tu. Utaingia na simu kupiga picha ndani ya swimming pool? I don't think so, chance ya kudondosha simu kwenye choo is 1/10. Its up to you. Kama wewe ni mtunzaji. S7 haina point.

Note 5 storage is not expandable. 64gb nyingi zilikuwa huko huko USA ni hazipatikani kirahisi. Unless kama unaagiza eBay. But mtaani sijui Samsung shop kuzipata ni bahati. Nyingi ni 32gb. Wakati s7 ni 32gb na unaweza kuweka SD card up to 200gb.

Maswali machache ya kujiuliza;
1. Unapenda picha amabayo ipo saturated? Ina chumvi nyingi kufidia zile 4MP. Jibu s7
2. Wewe ni mtu wa kuandika notes sana? Jibu note 5
3. 32gb haikutoshi? S7

My opinion; s7 is a nice phone. If money is not an object then get it kama unapenda big screen get the note 5. Its almost the same phone without the fancy features like water proof... More questions? Ask

-callmeGhost
Mkuu nje ya mada naulizia kwa hii NOTE 4,Galaxy S6,iphone 5s au hii ya TECNO ya camon cx ipi iko vizuri zaidi interms of camera,ram,battery life na fast charging kulingana na bajeti yangu ahsanteh
 
unamaanisha saphire? hawajaanza kutumia saphire bado, scratch zinapata hizi simu sema ni ngumu tu na anaetengeneza hizo glass ni corning zinaitwa gorilla glass, ni scratch resistant ila sio proof,

kuna sehemu nimeona wanaelezea hivi,

ugumu wa haya material kwa ohms upo katika scale ya 1 mpaka 10, 1 ikiwa laini na 10 ikiwa ngumu kabisa.

almasi yenyewe ndio ngumu ina score ya 10 na saphire inafuatia kwa karibu ikiwa na score ya 9.

hizi gorilla zenyewe zina score ya 6 ni ngumu na chuma hakiwezi kukwangua kama ulivyosema lakini kuna material ambayo yanakwangua yanaitwa quartz

quartz kwenye hio scale ya ohms yenyewe ina score ya 7 hivyo inakwangua gorilla,

quartz inapatikana kwenye vumbi, mchanga na kwengineko hivyo simu inapokuwa exposed kwenye quartz na zikakaa juu ya kioo kitu chochote kikikwaruza basi scratch zitapatikana iwe ni funguo, ukifuta na shati, mkono etc.

ndio maana watu wanatumia protector hasa tempered glass

Mkuu nje ya mada naulizia kwa hii NOTE 4,galaxy s6,iphone 5s au hii ya TECNO ya camon cx ipi iko vizuri zaidi interms of camera,ram,battery life na fast charging kulingana na bajeti yangu. ahsanteh
 
mkuu hapo s6 ndio nzuri zaidi, ila material yake ya glass na battery isiotoka angalia kama havitakukwaza.
 
Mkuu nje ya mada naulizia kwa hii NOTE 4,Galaxy S6,iphone 5s au hii ya TECNO ya camon cx ipi iko vizuri zaidi interms of camera,ram,battery life na fast charging kulingana na bajeti yangu ahsanteh
Galaxy s6 ina tick zote kasoro battery life. Battery life ya s6 ni shida. Ndio maana na suggest s6 edge, kidogo waliboresha battery life.

Note 4 kwenye ina battery size kubwa. Alafu its removable, unaweza tembea na spare, which is a plus. Pia ina SD card, kama wewe ni mtu wa mapicha picha, itakufaa. But camera ya note 4 is not as good as s6.

IPhone 5s, battery life rocks, its small in size but iOS wameoptimize vizuri utumiaji wa battery. Ina trump s6 kuleeee, but huwezi linganisha na removable battery ya Note 4. Camera, well its an iPhone, they never disappoint. Camera yake inatoa colours close to reality, haina kurembesha kama Samsung. Which is personal preference. Huwezi linganisha na s6 hata siku moja, but unaweza linganisha na Note 4. Kwa mtazamo wangu note 4 has a better camera than iPhone 5s. IPhone is an overall good phone kama wewe ni mtu wa point and shoot.

Tecno hiyo sina uzoefu nayo. Ningekusaidia. But kuna sababu kwanini Tecno yenye same specs as note 4 inauzwa half the price of note 4. Tecno itoe kwenye comparison. Sio league ya hizo simu nyingine.

Conclusion:
Mimi ningechukua s6 but naona battery itakuumiza sana. Note 4 is a good balance, pia iPhone 5s.
Between the two decide, screen size? Au wewe ni android or iOS? Mimi ningechukua note 4, ninayo iPhone 6s its amazing but napenda Samsung devices(android) That's personal preference. Naamini nimekusaidia kidogo.

-callmeGhost
 
Mimi number one fan wa hiyo simu. Kwanza sijui nianzie wapi.

Pros:
Camera is superb
Water resistance and dust resistance
Fantastic battery life
Liquid cooling system
Super amoled screen
Sexy
SD card is back

Cons:
No IR blaster
Smaller than the s6(not really a con)
Battery is not removable

Ningependa kuongelea haya kidogo since I am a camera freak. S7 camera is 12MP, s6 was 16MP. Ukilinganisha picture quality, s6 ina more detail. Lakini huwezi kuona hili kama unatumia screen ndogo. Tumia kubwa... 50+inch. Which is unlikely. Watu wengi Picha uishia kwenye simu tu, so that wouldn't be a problem. S7 ni balaa kwenye low light since its f1.7 na pixels zake kubwa kuliko s6, s6 ni f1.9. Pia kwa sababu hiyo, s7 inaonyesha bokeh effect vizuri kuliko s6.

Kitu ninachochukia kuhusu s7, picha utapiga kwa 4:3 ukitaka all 12MP ziwe in use. Ukitaka full screen, yani 16:9 itakuwa 9.1MP tu. Wakati s6 inapiga 16:9 kwa all 16MP.

Anyway ulikua haulinganishi between s6 na s7 but nimeona nitakueleza vizuri kwa mfano huu. Overall S7 is a fantastic phone. Kwa nilivyotumia s7 na s6. S7 haichemki kabisa. Its a future proof device.

Utaipenda sana. Kama una swali, uliza. Mwenyewe nataka kuongeza ninunue s7 edge... S7 ndogo

-callmeGhost
Wanakuambia hivii ukubwa wa pixels sio ubora wa camera. Keep that in mind
 
Kwa matazamo wangu, sijaipenda sana s8, since ni kubwa, na home button imeenda na maji. Sasa hivi fingerprint scanner ipo nyuma. Good thing about it is that, haina bezel kabisaaaaaaaa. Alafu video zitakuwa so weird.

Apart from its fancy design and little bump in specs. Its just another s7 with a bigger screen. Mi naona ni kama note 7 imefufuliwa tu. Kizuri wameadd kufungua simu na jicho lako what a cool feature. Mimi mpenzi wa camera, hawaja renovate, zaidi ya kuweka 8MP mbele.

Niseme tu regular s8 ni 5.8' s8+ ni 6.2' yani hapo hata s7 edge hailingani na regular s8. That is too damn big. Unless kama were ni mpenzi wa big screens.

Tusubiri watu wazitumie kwa muda tujue mapungufu yake. Kwa mtazamo wangu s7 is again an amazing android for the 2016/2017 smartphone market. S8 ni big brother tu.

-callmeGhost
Sasa nchi 5'8" ni ukubwa gani wakati ni standard....simu kubwa ni kuanzia 6'nch
 
Galaxy s6 ina tick zote kasoro battery life. Battery life ya s6 ni shida. Ndio maana na suggest s6 edge, kidogo waliboresha battery life.

Note 4 kwenye ina battery size kubwa. Alafu its removable, unaweza tembea na spare, which is a plus. Pia ina SD card, kama wewe ni mtu wa mapicha picha, itakufaa. But camera ya note 4 is not as good as s6.

IPhone 5s, battery life rocks, its small in size but iOS wameoptimize vizuri utumiaji wa battery. Ina trump s6 kuleeee, but huwezi linganisha na removable battery ya Note 4. Camera, well its an iPhone, they never disappoint. Camera yake inatoa colours close to reality, haina kurembesha kama Samsung. Which is personal preference. Huwezi linganisha na s6 hata siku moja, but unaweza linganisha na Note 4. Kwa mtazamo wangu note 4 has a better camera than iPhone 5s. IPhone is an overall good phone kama wewe ni mtu wa point and shoot.

Tecno hiyo sina uzoefu nayo. Ningekusaidia. But kuna sababu kwanini Tecno yenye same specs as note 4 inauzwa half the price of note 4. Tecno itoe kwenye comparison. Sio league ya hizo simu nyingine.

Conclusion:
Mimi ningechukua s6 but naona battery itakuumiza sana. Note 4 is a good balance, pia iPhone 5s.
Between the two decide, screen size? Au wewe ni android or iOS? Mimi ningechukua note 4, ninayo iPhone 6s its amazing but napenda Samsung devices(android) That's personal preference. Naamini nimekusaidia kidogo.

-callmeGhost
Ahsanteh mkuu napenda gaming na picha kali sana hapo vipi mkuu ahsanteh
 
Picha kali it subjective. Kuna watu wanaona iPhone ina good camera, kuna watu wanaona note 4 kali. Binafsi naipenda camera ya note 4, at some situations iPhone 5s ina toa vizuri.

Between games, naona Apple wana game nzuri. Pia zita run vizuri sana, since its an ecosystem. Sio kama android kuna games kwenye tecno hazitacheza vizuri kama kwenye HTC au Samsung. Utasikia app crashed, Mara not responding, Mara inachemka. But iphones, they run like a breeze. On this one, I give the crown to iPhone 5s.

Nikukumbushe. Kama unaweza samehe battery life, s6 is amazing.

Daah mkuu uko nondo sana aisee.ahsanteh sana mkuu
 
Back
Top Bottom