koo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 258
- 67
Heshima mbele
Naomba msaada sim yangu tajwa hapo juu niliiweka mfukon kutoa ikawa imezima kuiwasha haiwaki nimeweka kwenye umeme usiku kucha bado haiwaki naomba msaada nifanyeje haijawahi kuanguka wala kuingia kwenye maji nahisi ni virus lakin nashindwa nawezaje kuiscan kama haiwaki
naomba msaada jamani.