Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,042
Habari wana teknolojia!..Natumai mu wazima.Nilikua natumia simu yangu aina ya samsung galaxy j5 mara ghafla ikapoteza content!.Yaani screen ikawa inaonesha marangi rangi mara weusi,unjano na weupe!.Naomba msaada wenu kwa yeyote ambae anaweza kua anafahamu.Nawasilisha.