Msaada safari ya kwenda Sumbawanga

Msaada safari ya kwenda Sumbawanga

Nakushauri nenda Dar then upande basi la Majinjah hili linafika moja kwa moja Sumbawanga,anaekushauri upitie Mpanda Katavi akutakii mema kwa hali hii ya mvua na bara bara ya Mpanda-Sumbawanga.
 
Karibu sana, ulete hayo mapesa
 
Karibu sana Swanga, unakuja kwa ajili ya ile kitu maarufu ya huku? Karibu upande bus [emoji590] toka hapo Arusha ulale Mbeya. Asbh ya siku inayofuata panda Ndenjela wahi sa5-6 uko hapa Jangwani stand. Mm ni mwenyeji sana tu hiyo barabara yote toka Tunduma, Mkutano, Mpui, mpaka unafika Swanga.

Niko hapa Kizwitte
Jangwani stendi ipi wewe
 
Hello Gentleman and ladies ,
Nimepanga kwenda Sumbawanga after kwaresma natokea hapa Karibu na Kilimanjaro international airport anayejua barabara ipi nitumie .Kwani Nina shida kubwa sana na nimepata habari msaada nitaupata wilayani Sumbawanga .natakunguliza shukrani waungwana wangu ukiona mwanaume analie ujue yamemkuta .Na kama kuna members wa hapa anayeishi wilayani Sumbawanga please anijulishe kuna swali nilikuwa naomba kumuuliza ,
Best Regards,
Mwenye shida kubwa ,
Njoo PM tuongee kama huna haraka ya kwenda huko. Napafahamu Sumbawanga vizuri sana na naamini utapata pa kuanzia kupitia kwangu. Karibu
 
Hello Gentleman and ladies ,
Nimepanga kwenda Sumbawanga after kwaresma natokea hapa Karibu na Kilimanjaro international airport anayejua barabara ipi nitumie .Kwani Nina shida kubwa sana na nimepata habari msaada nitaupata wilayani Sumbawanga .natakunguliza shukrani waungwana wangu ukiona mwanaume analie ujue yamemkuta .Na kama kuna members wa hapa anayeishi wilayani Sumbawanga please anijulishe kuna swali nilikuwa naomba kumuuliza ,
Best Regards,
Mwenye shida kubwa ,
Pole kwa masahibu yalio kusibu.
Nina swali kama hauto jali......
Huko sumbawanga, unaenda kwa fundi....[emoji45] [emoji45]
IMG-20161201-WA0000.jpg
 
Hello Gentleman and ladies ,
Nimepanga kwenda Sumbawanga after kwaresma natokea hapa Karibu na Kilimanjaro international airport anayejua barabara ipi nitumie .Kwani Nina shida kubwa sana na nimepata habari msaada nitaupata wilayani Sumbawanga .natakunguliza shukrani waungwana wangu ukiona mwanaume analie ujue yamemkuta .Na kama kuna members wa hapa anayeishi wilayani Sumbawanga please anijulishe kuna swali nilikuwa naomba kumuuliza ,
Best Regards,
Mwenye shida kubwa ,
Mkuu kwa nn usiende zigua (handeni) ukasevu nauli na muda?
 
Panda gar arusha tu mbeya! Ila basi inalala makambako bt kwa upande wangu mara nying mabasi ya hood huwa wanawasiliana na madereva wa costa pale makambako ambapo huwasubir wakishafika costa huanza na safar kuelekea mbeya usiku ule ule haihitaji kulala makambako
 
Hello Gentleman and ladies ,
Nimepanga kwenda Sumbawanga after kwaresma natokea hapa Karibu na Kilimanjaro international airport anayejua barabara ipi nitumie .Kwani Nina shida kubwa sana na nimepata habari msaada nitaupata wilayani Sumbawanga .natakunguliza shukrani waungwana wangu ukiona mwanaume analie ujue yamemkuta .Na kama kuna members wa hapa anayeishi wilayani Sumbawanga please anijulishe kuna swali nilikuwa naomba kumuuliza ,
Best Regards,
Mwenye shida kubwa ,

Hapa mtu wa karibu kumuuliza ni waziri mkuu wa zamani Pinda au yule mganga mashuhuri mwenye vitu vya hajabu hajabu kwa jina 'Mzindakaya." Yule jamaa atakutibu na atakuambia namna ya kufika kwake.
 
Hello Gentleman and ladies ,
Nimepanga kwenda Sumbawanga after kwaresma natokea hapa Karibu na Kilimanjaro international airport anayejua barabara ipi nitumie .Kwani Nina shida kubwa sana na nimepata habari msaada nitaupata wilayani Sumbawanga .natakunguliza shukrani waungwana wangu ukiona mwanaume analie ujue yamemkuta .Na kama kuna members wa hapa anayeishi wilayani Sumbawanga please anijulishe kuna swali nilikuwa naomba kumuuliza ,
Best Regards,
Mwenye shida kubwa ,
Mkuu madini ya Tanzanite siku hizi hayapatikani kwa urahisi nini mkuu? Lakini angalia sana usijeambiwa umtoe kafara ndugu yako!!
 
Asante sana kwa Ushaurii Wenu.
Naona nitapanda basi from Arusha to Mbeya then catch another bus to Sumbawanga ,.Asante sana waheshimiwa kwa ushaurii wenu .na sijawahi kufika Mbeya mjini acha nikapaone .MWENYEJI WA SUMBAWANGA SASA MSAADA kwa wale wanaoishi Hapo Sumbawanga ,
 
Watu wakisikia Sumbawanga moja kwa moja wanahusisha na mambo ya ndumba!,..kuna jamaa ameenda kuanzisha maisha huko kwa kujishughulisha na kilimo na biashara ya mbao,amepiga hatua kubwa sana kimaisha..Maisha ya hapa Dsm miyeyusho tu,fursa zipo mikoani kama ukiwa na mtaji wa kuanzia.
 
Back
Top Bottom