Msaada rafiki yangu kaibiwa.

Aingie Google dashboard atapata hiyo IMEI number ya simu na mara ya mwisho hiyo simu ilionekana sehemu gani.

Endapo imeibiwa na mjanja au akauziwa mjanja, akibadili IMEI number ndo imetoka hiyo.
Kuna simu siku hizi huwezi badili imei nr
 
Mie nahitaji mtu nimpatie IMEI yangu anitafutie simu yangu, nikiipata kwa kweli nitampatia elfu 50,000/- cash. Niko Morogoro
Nenda police kama simu inatumika na mtu mwingine utaipata ila jamaa pia utawapooza chochote kitu
 
MNAPO PAKI MAGARI SEHEMU NGENI
MKISHUKA WASALIMIE JAMAA WALIYOKO
KARIBU, WAAMBIE UNAPAKI KWA MUDA UTARUDI,ONYESHA HESHIMA FULANI
UTALINDIWA KWA STYLE
SASA WE UNAPAKI GARI KIBUBUBUBU

ova
Na ukirudi waachie hata buku mbili unakuwa salama siku zote.
 
Nyie ndiyo mnafuga wezi. Ukimkamata mwizi, piga sana na mvalishe tairi la gari, mwagie petrol na hakikisha ameungua mpaka amebaki majivu. Watu wanunue ww uibe. Hautakiwi kumuonea mwizi huruma
Kwa hiyo unajisifia kwa kujichukulia sheria mkononi mwako?why hukumpeleka police or call them?mnatuharibia sana nchi yetu mtu kama wewe hizi kangaroo courts hatuzihitaji.
 
Back
Top Bottom