Msaada rafiki yangu kaibiwa.

Msaada rafiki yangu kaibiwa.

Niliposoma kichwa cha habari, nilidhani wamemkwiba huyo rafiki 🙁
 
MNAPO PAKI MAGARI SEHEMU NGENI
MKISHUKA WASALIMIE JAMAA WALIYOKO
KARIBU, WAAMBIE UNAPAKI KWA MUDA UTARUDI,ONYESHA HESHIMA FULANI
UTALINDIWA KWA STYLE
SASA WE UNAPAKI GARI KIBUBUBUBU

ova
Hii kitu uwa inanisaidia sana.
 
Hapo zenji mtafute Farouk Kharim ni mtaalamu wa hao jamaa
 
Hilo wazo hata mimi nilikua nalo ila nitofauti kidogo na wazo lako. Langu ni hili nimepanga nimchukue mtu kwenye gari yangu halafu nimuache sehemu atangulie eneo la tukio. Mimi nikifika niondoke yeye akiwa anaitazama kwa mbali.

Mimi nitaondoka kwenda mishe zangu za kuzugia huku nikijua nafatiliwa ni mwizi namba 2 ambae anasaidiwa na mwizi namba 1 ambae ndo anaetaka kufanya wizi. Ndo hapo utampata mwizi wa vifaa vya magari.
Siyo wazo tu yalinikuta pale Tegeta sokoni. Jamaa akasema atakuwa akilinda gari langu nikipaki pale.[emoji1787]
 
Kwa hiyo unajisifia kwa kujichukulia sheria mkononi mwako?why hukumpeleka police or call them?mnatuharibia sana nchi yetu mtu kama wewe hizi kangaroo courts hatuzihitaji.
Amejifunza kuwa siyo kila gari inayopaki ni kuiba vifaa tu.
 
MNAPO PAKI MAGARI SEHEMU NGENI
MKISHUKA WASALIMIE JAMAA WALIYOKO
KARIBU, WAAMBIE UNAPAKI KWA MUDA UTARUDI,ONYESHA HESHIMA FULANI
UTALINDIWA KWA STYLE
SASA WE UNAPAKI GARI KIBUBUBUBU

ova
Hapo ndo wanaponichosha wabongo,unapaki gari ya m33 unashindwa kusalimia au kutoa hela ya soda kwa washkaji ulowakuta eneo hilo!
 
Back
Top Bottom