Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
1,798
Reaction score
3,257
Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo.
Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo.
Kuna zile naskia unaweza nunua wino ukajaza mwenyewe, nahisi kama ndio zitatufaa zaidi kuliko za kubadili cartilage nzima.
Naombeni m recommend ni brand na midel ipi itatufaa na bei elekezi pia ili kuepuka kupigwa.
Chief-Mkwawa
 
Sema pia nimesoma Mahala printer hizo za wino wa chupa zina tabia ya kuganda usipotumia, atleast kwa wiki uwe umeprint, kama Una print mara 10 kila wiki haina neno, otherwise kama unapitisha wiki hujaprint unashauriwa hizi za kawaida inkjet
 
Shukran sana Kaka, umenipa mwanga hapa.
 
Kina nani hao wengine mkuu...
Mi huwa sitemi madini humu ndani na ukitaka maelezo zaidi huwa naelekeza kwa pesa nipo very strictly mkuu..

Ahsante
Biashara njema Mkuu ndio maana sikutaka kutia mguu huko make kama ni msaada wa kawiada huwa ni hapa hapa kama wadau wengine walivyofanya., Chief-Mkwawa na Aleyn wameshanisaidia bure kabisa.
 
Biashara njema Mkuu, Chief-Mkwawa na Aleyn wameshanisaidia bure kabisa.
Nina uzoefu na hizi printers brands na model kuanzia zote.
Kwa bajeti na matumizi yako, HUYO JAMAA HAWEZI KUKUSHAURI NJE YA PRINTER ZA INK TANK, ni Epson au Canon tu.

Asikutishe kuhusu ushauri, lazima ataangukia kukushauri hapo. Au yamkini alikuwa anataka akuuzie. Sasa sikiliza mkuu, Epson L3250, L3211 zote hizi kariakoo unazipata kwa 360,000 hadi 400,000.
 
Shukrani mkuu, umenisaidia na mimi
 
Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo.
Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo.
Kuna zile naskia unaweza nunua wino ukajaza mwenyewe, nahisi kama ndio zitatufaa zaidi kuliko za kubadili cartilage nzima.
Naombeni m recommend ni brand na midel ipi itatufaa na bei elekezi pia ili kuepuka kupigwa.
Chief-Mkwawa
Kwa mashine ya uhakika ni epson hasa hizo walizo shauri wajuvi hapo yani L31XX au L32XX, usilogwe ukachukua canon pixma yaani utakimbizana na maintanace cartilage wewe hadi uipack hiyo mashine yako.
 
Nina Canon 2206 IR inapiga kazi mwaka Wa 6 huu sijaongeza wino wala marekebisho yoyote. Ila huwa siprint mara Kwa mara. Spidi ni kubwa kuliko Epson ila shida haitoi color. Ila kwa tulipofika naona kama inapitwa na wakati hivyo
 
Back
Top Bottom