Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

Nakushauri uchukue Epson L3250 Kwa hiyo bajeti. Ina kitu kidogo cha ziada. Uwezo wa kutoa copy au ku-print document moja kwa moja kutoka kwenye simu yako bila kuwasha kompyuta.
Shukrani sana kaka, nafikiri Next week nachukua hii.
 
Anayejua changamoto za canon pixma anisaidie. Nailewa sana hii printer hasa kwa kuwa unarefill na inatumia wifi.
 
Shukrani sana kaka, nafikiri Next week nachukua hii.
Hiyo mzuri Sana hata Mimi ninayo na matumizi tunakaribiana kufanana. Timu 1 ya karatasi naweza kutumia miezi mitatu hata minne.
Mwezi uliopita nilinunua L3210 Kwa 380,000 ila kuna mtu aliniambia nisingekuwa na haraka ningepata chini ya hapo.
 
Nina Canon 2206 IR inapiga kazi mwaka Wa 6 huu sijaongeza wino wala marekebisho yoyote. Ila huwa siprint mara Kwa mara. Spidi ni kubwa kuliko Epson ila shida haitoi color. Ila kwa tulipofika naona kama inapitwa na wakati hivyo
Hiyo ya kwako ni midium photocopy machine na inatumia tonner catrige na ni black and white tuu huwezi kuprint coloured document au picha kama hizo za wino wa maji walizo taja wadau hapo.
 
Anayejua changamoto za canon pixma anisaidie. Nailewa sana hii printer hasa kwa kuwa unarefill na inatumia wifi.
Pixma bwana ni nzuri ila kipengere kipo kwenye maintanace cartridges aisee kwa mashine nyingi tools za kureset haziitiki vizuri, hivyo utalazimika kununua maintanace cartridge kila counter inapo jaa ni kipengere sana kwa maadhi ya matoleo no bora Epson mara mia maana nayo unajaza tu wino tani yako na caounter ikijaa tools za ku reset zipo na zinafanya kazi vizuri sana
 
Hiyo mzuri Sana hata Mimi ninayo na matumizi tunakaribiana kufanana. Timu 1 ya karatasi naweza kutumia miezi mitatu hata minne.
Mwezi uliopita nilinunua L3210 Kwa 380,000 ila kuna mtu aliniambia nisingekuwa na haraka ningepata chini ya hapo.
Bei ni sawa kabisa hiyo mkuu.
 
Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo.
Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo.
Kuna zile naskia unaweza nunua wino ukajaza mwenyewe, nahisi kama ndio zitatufaa zaidi kuliko za kubadili cartilage nzima.
Naombeni m recommend ni brand na midel ipi itatufaa na bei elekezi pia ili kuepuka kupigwa.
Chief-Mkwawa
Tafuta epson l3250 Kwa budget hiyo inatosha na matumizi hayo
 
Anayejua changamoto za canon pixma anisaidie. Nailewa sana hii printer hasa kwa kuwa unarefill na inatumia wifi.
Hazina changamoto ila vifaa vyake ni GHALI KWENYE replacement hasa PIXMA ila ziko vyema japo wino wake sio available sana mikoa mingine kama epson
 
Back
Top Bottom