Yuda Eskareote
Member
- Aug 30, 2019
- 94
- 143
Wadau!
Nimefanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2018 kama private candidate ili kuendelea na kibarua changu shirika la uma. Imefikia pahara cheti kinahitajika nimekuja kwenu kuuliza kwa mwenye kujua anijuze juu ya kutolewa kwa cheti maana nimekuja kugundua result slip , testimonial sio kwa ajili ya kuombea kazi Ni kwa ajili ya muendelezo wa elimu maana hakuna tangazo lolote la kazi linaloruhusu result slip
Nisiwachoshe sana naomba kujuzwa kwa hilo. Asanteni