kuna gari aina ya carina TI ukiwasha haisomi kilometer kwenye dash board ila gauge ya mafuta inasomeka vizuri tu, je tatizi ni nini? niliwahi kuipeleka garage nikaambiwa ninunue dash board mpya. je kuna uwezekani mwingine tofauti na dash board mpya? na kama ni hivyo inaenda kwa bei gani? please i need your help.