Msaada wa fundi: Toyota Runx inabugia mafuta

simba road

Member
Dec 29, 2015
63
63
Wakuu kwema,

Kuna Toyota Runx nimenunua mkononi yapata mwezi mmoja sasa. Ila ulaji wake wa mafuta unanitisha sana.

First time nimeweka mafuta full tank, ila baada ya km 143 tank likafika nusu kasoro bar 2 nikajazia lita 20 ili iwe full.

Second time nimeenda km 192 tank likaenda bar moja chini ya half tank, kujaza tena ili iwe full tank nimeweka lita 30.

Mara ya kwanza nilikua natumia full AC mara ya pili AC nilikua natumia occasionally kutokana na hizi mvua.

Ukiangalia haraka ni kama 6.5-7km/l hata kama ni hizi foleni za Dar mbona huu ulaji naona unatisha? Natoka tabata to mjini around km 13/14 kwenda na kurudi asubuhi na jioni.

Important details ninazokumbuka;

1. Ina km 180904

2. cc1490

3. Oil nikibadili baada ya kununua (20w-50), muuzaji aliniambia ninunue hii kwa sababu engine ina zaidi ya km 150k

4. Nilibadili plugs zote 4 ila sikuangalia specifications ( jumla ilikua 60k)

Please msaada, nifanye nini iwe na ulaji angalau 12km/L kwa hizi foleni za Dar. Kama kuna mtu anaweza ku recommend garage/fundi mzuri wa hili tatizo msaada please.
 
Pole

Ninadhani tatizo lipo hapa
"Please msaada nifanye nini iwe na ulaji angalau 12km/L kwa hizi foleni za Dar."

Gari kwenye foleni inatumia mafuta mengi zaidi.

Jaribu siku moja utoke Kimara kwenda Kibaha-Chalinze halafu ulinganishe na Tabata-Kivukoni
 
Wakuu kwema,

Kuna Toyota Runx nimenunua mkononi yapata mwezi mmoja sasa.

Ila ulaji wake wa mafuta unanitisha sana.

Ukiangalia haraka ni kama 6.5-7km/l hata kama ni hizi foleni za Dar mbona huu ulaji naona unatisha?

Natoka tabata to mjini around km 13/14 kwenda na kurudi asubuhi na jioni.

Important details nazokumbuka.

1- Ina km 180904

2- cc1490

3- Oil nikibadili baada ya kununua (20w-50), muuzaji aliniambia ninunue hii kwa sababu engine ina zaidi ya km 150k

4- Nilibadili plugs zote 4 ila sikuangalia specifications ( jumla ilikua 60k)

Please msaada nifanye nini iwe na ulaji angalau 12km/L kwa hizi foleni za Dar.

Kama kuna mtu anaweza ku recommend garage/fundi mzuri wa hili tatizo msaada please.
Nenda wakuchekie coil
 
Ntajaribu mkuu
 
Iuze haraka sana....hamna gari hapo
 
gari ikiwa kwenye gea kubwa nahasa kwenye foleni inakula mafuta, gari ukiwasha A/C inakula mafuta zaidi, gari ikiwa upo safari ndefu gia inayotumika ni ndogo ulaji wa mafuta unapungua kwa kiasi kikubwa. pia cheki kuanzia kwenye tank mpaka kwenye injini paipu za mafuta hakuna inapovuja
 
Wakuu kwema,

Kuna Toyota Runx nimenunua mkononi yapata mwezi mmoja sasa. Ila ulaji wake wa mafuta unanitisha sana.

First time nimeweka mafuta full tank, ila baada ya km 143 tank likafika nusu kasoro bar 2 nikajazia lita 20 ili iwe full.

Second time nimeenda km 192 tank likaenda bar moja chini ya half tank, kujaza tena ili iwe full tank nimeweka lita 30.

Mara ya kwanza nilikua natumia full AC mara ya pili AC nilikua natumia occasionally kutokana na hizi mvua.

Ukiangalia haraka ni kama 6.5-7km/l hata kama ni hizi foleni za Dar mbona huu ulaji naona unatisha? Natoka tabata to mjini around km 13/14 kwenda na kurudi asubuhi na jioni.

Important details ninazokumbuka;

1. Ina km 180904

2. cc1490

3. Oil nikibadili baada ya kununua (20w-50), muuzaji aliniambia ninunue hii kwa sababu engine ina zaidi ya km 150k

4. Nilibadili plugs zote 4 ila sikuangalia specifications ( jumla ilikua 60k)

Please msaada, nifanye nini iwe na ulaji angalau 12km/L kwa hizi foleni za Dar. Kama kuna mtu anaweza ku recommend garage/fundi mzuri wa hili tatizo msaada please.
Kabla ya hii ulikuwa unamiliki gari?
 
Back
Top Bottom