Msaada please..

Msaada please..

billduke

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
861
Reaction score
901
Waungwana mi mgeni humu ndani...naomba mnielekeze jinsi ya kulipata jukwaa la DINI maana nalitafuta silipati.
 
Laaah!!!!! ........Wee mchunga kondoo umeambiwa ni sehemu ya kuhubiri humu? Kama hawapatikan kaombe ushauri kwa mzee wa upako
 
Kama hujui bora ukae kimya hujalazimishwa kujibu...
 
Jukwaa hilo lipo ila huwezi kuingiampaka
upate ruhusa toka kwa Uongozi yaani Invisible
Pia unachotakiwa kufanya mwandikie PM/E mail
kuomba idhini ya kuingia

Michango yako pia inaweza kuwa kikwazo
kupata ruhusa yaani km iko kukashfu dini
yoyote na si kuelimisha jamii yote.

Kubwa na zuri omba ruhusa halafu wao
watakufikiria pia wakati unaomba uwe
na subira si leo leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom