Wadau naomba kuuliza wapi nitapata spika + power board ( + Ribbon) ya Laptop ya HP Pavilion dv6700 kwa hapa TZ? Akhsante!