<br />mh! Hiyo inayowatishia mbu wa miezi mitatu we itakubakiaza?<br />
Acha uzembe mkuu, shusha neti.
anyone??????//
Mpenzi, nafahamu kuna mti mmoja hivi ukiupanda nje kwako you kiss them mosquitoes goodbye ila siufahamu jina unless uugoogle huo mti. Sie nyumbani kwetu mama alipewa na rafiki yake naye mama haujui lakini hatuna mbu tena home.
anyone??????//
niulizie ikibidi nije kwenu nioune aisee
Mkuu hiyo neti atashusha mpaka sebuleni?mh! Hiyo inayowatishia mbu wa miezi mitatu we itakubakiaza?
Acha uzembe mkuu, shusha neti.