msaada please.............

Kwa ajili ya kupulizia kuta...wataalamu wanaita IRS (in-door residucal spraying), dawa inayotumika ni aina ya pyrethroids kama vile Icon. Nenda maduka ya pembejeo (especially TFA) ukanunue Icon na utafute mtaalamu wa mambo ya fumigations akusaidie.

Hata hivyo, dawa hizi zinaua zaidi mbu wa malaria aina ya anopheles wakati wale wasumbufu aina ya culex hawafi sana. Na kama unaishi mjini (Dar au miji mingine), mbu wanaosumbua zaidi ni culex. Dawa nyingi zinazotumika kuua mbu hawa hazifai kupuliza kwenye kuta!
 
hii icon nimeisikia tu
sasa dawa zinazofukuza mbu wote nitapata wapi?
nimesikia diplomats wanpulizia kwenye makazi yao but
sina info zote
 
kwa daresalaam wapi nitapata?
Mkuu kwa Dar sijajua inapatikana wapi, lakini sababu inaonyesha unahitaji sana Kesho nitajaribu kucheck ni bland gani hasa ila nakumbuka ni BLACK & DECKER Mosquito ... aaah nita cheki kesho
 
Back
Top Bottom