Msaada please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada please

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by zayat, Jan 7, 2011.

 1. z

  zayat JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamii naomba msaada wenu ati BORA KAZI KULIKO MKE?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Bora vyote kama vyote vikiwa bora!
   
 3. S

  Sudy brightson Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha mi nakupa ushaur acha wote..
   
 4. S

  Sudy brightson Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha mi nakupa ushaur acha wote..
   
 5. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mh! Cjui
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nimependa
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Bora kazi ndio.
  We na huyo mkeo mtakula mawe?
  Ila usimuoneshe mkeo kuwa kazi ni bora kuliko yeye.
  Huwa hatupendi ukweli katika hilo.
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  chezea MSHAHARA na MKE usichezee KAZI.
   
 9. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Oa halafu uache kazi.
   
 10. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  bora mke atii.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Bora kazi!!
   
 12. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  lizzy una akili ww!
   
 13. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  haha, love cant bring food on the table.
   
 14. blackdog

  blackdog Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kazi ni ya muda .... lakini mke si wa muda, kama unataka kwa muda mfupi bora Kazi kama Maisha............................, (Simaanishi Ndoa mke wa msimu yaani kipindi cha kupikiwa ftari!!!!!)
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  huyo mke pia ni kazi. tafauti ni ile kazi nyengine unalipwa mshahara lakini hii kazi ya mke haulipwi na utatakiwa ulipie wewe garama za kutunza familia. kuna kamsemo kanasema "kuumbwa mwanaume ni nusu ya kufeli maisha" hehehe wahenga wetu walikuwa walevi lakini samtaimu walikuwa na kaukweli flani hivi.
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndo muache kuogopa wasomi ili msaidiane majukumu!
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehe!Asante mwaya!
   
 18. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Zayat, jibu tayari unalo. Sasa wewe unauliza swali gani?
   
 19. S

  Simeon Member

  #19
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  inategemea mke yukoje na kazi ipi!kuna mke aambaye unatamani hata usiende kazini,na ukiwa kazini unatamani urudi haraka,huyu ni zaidi ya kazi!na kuna mke ambaye unatamani kukuche usepe zako job,na unajichelewesha kurudi kazini angalao uvute tym cku iishe, kwa huyu si bora kazi jamani?kadhalika kuna kazi ambazo ni full kuboa unaifanya bac 2,hizi huwezi kuzilinganisha na mamaa!
   
Loading...