Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

okay,ni cousin in english na kwa kiswahili ni nani?
yule ni dada yake...na ni dhambi na laana kulala na dada yako
Wewe rudi shule ukasome kiingereza, tangu lini mtoto wa baba mkubwa au baba mdogo hata wa mama mkubwa na mama mdogo akaitwa SISTER kwa kiingereza, anaitwa COUSIN wewe, so she isn't his sister, she's his cousin.
 
Wakuu...Naombeni msaada wenu wa mawazo...
Nimetokea kumpenda sana mtoto wa mama yangu mdogo na nafikiri labda MUNGU akipenda,nafikiria kumuoa huko baadae..Ila bado sijamwambia kuhusu hisia zangu juu yake.

Sasa je,Itakuwa sawa kama tukiamua kuoana? Hasa ukizingatia kuwa sisi ni ndugu..Je imekaaje hili katika tamaduni zetu za kitanzania?
Naomba msaada wakuu[/QUOTE
ungekua karibu yangu makofi yangekuhusu.....yaani stocks zote hizi we unaona uwendekwenu?
 
Naomba msaada wakuu

Kaka Huyo si dada yako? in english anaitwa cousin, your sister is the one mnachangia baba, au mama, au vyote kwa pamoja, kusema kweli unaruhusiwa kumuoa, ila kwa mtazamo wa jamii yetu, bora ungeachana ni hiyo fikra na kuelekeza mapenzi yako na hisia zako kwa mtu mwengine, maana wanawake ni wengi hapa Bongo.

Mkuu je mtoto wa kiume wa my small father/baba mdogo nikimuita brother ntakuwa nimechapia?
 
okay,ni cousin in english na kwa kiswahili ni nani?
yule ni dada yake...na ni dhambi na laana kulala na dada yako

ukitazama languages comparison studies utagundua kwamba lugha zote za kimataifa na zile zisizo za kimataifa(ispokua) za kiafrika, wanamwita cousin, kwa maana wanaturuhusu kuwaoa, ila waafrika humwita dada ili tusiwaoe, na ndio maana nikamwambia anaruhusiwa kumuoa huyo his cousin, but kwa tamaduni zetu za kiafrika ni vizuri achane na hilo wazo la kumuoa huyo cousin wake ? ambae wa afrika humwita dada. lakini ni kuulize swali. Lakini nikuulize swali, kuna tofauti gani kati ya kaka wa baba na dada wa baba? mbona mtoto wa dada wa baba(shangazi) waafrika wanaruhusu kumuoa? au kwakua yeye si ndugu yako, ina maana a shangazi si damu yako? na kama ni damu yako basi mtoto wake ni dada yako. na upande wa mama vile, kuna tofauti gani kati ya mama mkubwa au mama mdogo na mjomba? wote si ndugu wa mama? kama wote ni ndugu wa mama, kwanini wa mama mdogo au mkubwa umwite dada au kaka, alafu wa mjomba umwite binamu? kama wa mama mdogo kwa upande wa mama ni kaka au dada bila shaka nae atakuwa dada au kaka, na hapo pia hakuna ndoa.
 
Wewe rudi shule ukasome kiingereza, tangu lini mtoto wa baba mkubwa au baba mdogo hata wa mama mkubwa na mama mdogo akaitwa SISTER kwa kiingereza, anaitwa COUSIN wewe, so she isn't his sister, she's his cousin.

Pia natanguliza samahani kutokana na msg hii, niliongea maneno ambayo si ya kuridhisha, pale nilipokwambia rudi shule ukasome kiingereza. Matayo 7:7 "...ulizeni na nyi mtajibiwa, ombeni na nyi mtapewa, bisheni na nyi mtafunguliwa"
 
kila mtu anaamini kutokana na asili yake
kwa upande wangu kaka wa baba (baba mkubwa) na dada wa kaka (shangazi) vivyo hivyo kwa upande wa mama,mama mdogo na mjomba wote ni ndugu zako..hivyo kwangu mimi ni dhambi kuwaoa watoto wao maana wale wote ni ndugu zako pia...hivo,siwezi kuwajibia wale wanaoruhusu hizo ndoa za ma binamu japo nadhani wanaegemea kwenye imani kua ndugu yako ni wa upande wa baba...
ukitazama languages comparison studies utagundua kwamba lugha zote za kimataifa na zile zisizo za kimataifa(ispokua) za kiafrika, wanamwita cousin, kwa maana wanaturuhusu kuwaoa, ila waafrika humwita dada ili tusiwaoe, na ndio maana nikamwambia anaruhusiwa kumuoa huyo his cousin, but kwa tamaduni zetu za kiafrika ni vizuri achane na hilo wazo la kumuoa huyo cousin wake ? ambae wa afrika humwita dada. lakini ni kuulize swali. Lakini nikuulize swali, kuna tofauti gani kati ya kaka wa baba na dada wa baba? mbona mtoto wa dada wa baba(shangazi) waafrika wanaruhusu kumuoa? au kwakua yeye si ndugu yako, ina maana a shangazi si damu yako? na kama ni damu yako basi mtoto wake ni dada yako. na upande wa mama vile, kuna tofauti gani kati ya mama mkubwa au mama mdogo na mjomba? wote si ndugu wa mama? kama wote ni ndugu wa mama, kwanini wa mama mdogo au mkubwa umwite dada au kaka, alafu wa mjomba umwite binamu? kama wa mama mdogo kwa upande wa mama ni kaka au dada bila shaka nae atakuwa dada au kaka, na hapo pia hakuna ndoa.
 
ulizeni nanyi mtajibiwa?
nilikuelewa..watu kama nyinyi ndo mnakamilisha jamii,peace
Pia natanguliza samahani kutokana na msg hii, niliongea maneno ambayo si ya kuridhisha, pale nilipokwambia rudi shule ukasome kiingereza. Matayo 7:7 "...ulizeni na nyi mtajibiwa, ombeni na nyi mtapewa, bisheni na nyi mtafunguliwa"
 
Hivi inatokana na nini, unatakiwa uhame kwenye hayo mazingira unayokaa ili usimwone kabisa huyo dada yako.
 
Wakuu...Naombeni msaada wenu wa mawazo...
Nimetokea kumpenda sana mtoto wa mama yangu mdogo na nafikiri labda MUNGU akipenda,nafikiria kumuoa huko baadae..Ila bado sijamwambia kuhusu hisia zangu juu yake.

Sasa je,Itakuwa sawa kama tukiamua kuoana? Hasa ukizingatia kuwa sisi ni ndugu..Je imekaaje hili katika tamaduni zetu za kitanzania?
Naomba msaada wakuu

Funga uombe hilo pepo litoke
 
Wewe Tuvako wewe... acha kuaibisha wapare.. kwa uzoefu wangu huyo hujampenda umemtamani tu na kuhakikishia ukishajipigia mara moja hamu itaisha.Akili kumkichwa
 
Unapanga harusi hata Mtu mwenyewe ajui kama unamtaka....., Una pepo wewe
 
wewe dada yako huyo kabisa ata maneno ya mungu yanakatazaa. pepo tokaaaaa!!!!!!
 
Back
Top Bottom